Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Hata mimi sijuiHow is it possible?
Hata mimi sijuiHow is it possible?
HahahHata mimi sijui
NdioHahah
kwamaana hio huna uhakika na kile ulichokisema wanaume wanaolewa?
Ok dadaNdio
Mbona waniita dada na unasema ulikuwa hujui kama mimi ni keOk dada
Pole sana kwa kupishana na gari la mshahara mama la mamaSikumuona aisee
Hii pia ni red flag. Kuacha au kuachwa zote zinaweza kuwa ni dalili mbaya dhidi ya muhusika.Tatizo mnadhani kila single mother amekimbiwa, wapo waliowakimbia wanaume waliozaa nao
daah mbona tunafichuliana siri aisee
Inaonekana akishajua sababu ya utengano na huyo mwenza,atamuoaWataolewa na akina Nan wao single mother?
Kuna mtu aliwahi kuniambia maneno siwezi kuyasahau. Aliniambia wanawake wanapenda ndoa kuliko kitu chochote, kama kuna mtu anatamani ndoa idumu ni mwanamke, atavumilia kila aina ya manyanyaso, kuchitiwa na kudharauliwa ilimradi aendelee kuitwa mke wa mtu, kwa hiyo ukiona mwanamke amenyoosha mikono amekimbia ndoa/mahusiano jua huyo sio mwanaumeHii pia ni red flag. Kuacha au kuachwa zote zinaweza kuwa ni dalili mbaya dhidi ya muhusika.
Naomba unitagie ule uzi wa "nimechoshwa na ufuska wa usaliti wa mke wangu" ukiwa nao mama.Kuna mtu aliwahi kuniambia maneno siwezi kuyasahau. Aliniambia wanawake wanapenda ndoa kuliko kitu chochote, kama kuna mtu anatamani ndoa idumu ni mwanamke, atavumilia kila aina ya manyanyaso, kuchitiwa na kudharauliwa ilimradi aendelee kuitwa mke wa mtu, kwa hiyo ukiona mwanamke amenyoosha mikono amekimbia ndoa/mahusiano jua huyo sio mwanaume
Sijawahi kuuonaNaomba unitagie ule uzi wa "nimechoshwa na ufuska wa usaliti wa mke wangu" ukiwa nao mama.
Umenikumbusha story moja ila tafadhari sio niko upande wa kuwasema single mother! bhanae jana nilikutana na story moja kuna jamaa alioa mwanamke ambaye alitoka katika mahusiano mengine ile tunaita single mother( ingawa hii inasound kama simango fulani kwenye maisha) basi bhana siku moja jamaa yangu kwa upole kabisa tena muda wa dinner akamuuliza mkewe "ivi ni kitu gani hasa kilikufanya uachike kutoka kwa mume wako wa mara ya kwanza" Majibu: " unauliza ili iweje" hapo ugomvi ukaibuka balaa hadi mama wa yule jamaa nae akasikia maana alikuwa karibu alipoelezewa nae kamshambulia kweli jamaa " akili huna maswali gani hayo" kama mimi nilikaa upande wa mshikaji nikasema kwa vile mazingira ya swali hayakuwa ya ugomvi tena kwa utulivu basi hata kama jamaa aliuliza swali sio basi angejibiwa kwa upole au kupewa ahadi ya kijibu siku nyingine kuliko kunyamazishwa kama vile anachochea kitu hatari na kwa namna ile basi jamaa atakuwa na wasiwasi zaidi ya mwanzo. Hata chartgPT nae nilipomshirikisha nae akaona ni vyema mwanaume angejibiwa politely! Aya sasa wewe unaonaje hapo?Tafadhali usijione kijogoo kuibuka na single mother bila kujua sababu ya mtangulizi kusepa. Single mother wengi wanaficha mengi. Jiridhishe kabla ya kuvamia mtumbwi wa vibwengo. Tumezika wengi kwa kujidai na huruma kwa single mothers.
NB: Bora Whozu kuliko kuvamia Single.mother dizain ya Shishi
Ni kweli wanawake si wepesi kuachana. Ila pia ni hodari wa kukurupuka kuachana na kuanzisha mahusiano mapya na kujikuta wamepigwa matukio zaidi ya waliyopigwa walipotoka. Ogopa mwanamke aliyeachika kwasababu mara nyingi mwanamke mpaka anaachika ni anakua ameharibiwa sana beyond repair - kwasababu hizohizo ulizozigusia.Kuna mtu aliwahi kuniambia maneno siwezi kuyasahau. Aliniambia wanawake wanapenda ndoa kuliko kitu chochote, kama kuna mtu anatamani ndoa idumu ni mwanamke, atavumilia kila aina ya manyanyaso, kuchitiwa na kudharauliwa ilimradi aendelee kuitwa mke wa mtu, kwa hiyo ukiona mwanamke amenyoosha mikono amekimbia ndoa/mahusiano jua huyo sio mwanaume
Hilo ndiyo kosa utalijutiaTatizo mnadhani kila single mother amekimbiwa, wapo waliowakimbia wanaume waliozaa nao
Sawa mkuuSijawahi kuuona
Hapo Sasa Watu Waoe Single Mom Muhimu Maelewano TuWataolewa na akina Nan wao single mother?