Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ila kuashum kuwa mahusiano yanapovunjika mwanamke ndio tatizo ni kuwajibika?
Unajihami too much best. Sijasema popote kwamba mahusiano yanapovunjika mwanamke lazima awe ndio tatizo. Nimesema tu kwamba kuachika au kuacha inaweza kuwa ni dalili mbaya kwa wahusika - uwe umeacha au umeachwa - haijalishi jinsia yako. Shida ya wanawake wengi ni kupenda kujiweka upande wa kuonewa.
 
Mimi sijihami ila awali maelezo yako hukuyaweka vizuri ndio maana sikukuelewa
 
NB: Nina Akili Ndogo Sana

Kama rafiki yako wa maana sana alitangulia mbele za haki, jutahidi saana kuwasaidia watoto wake kuliko kulea watoto wa single mother ambaye anawasiliana kwa Siri na mzazi mwenzie.
 
You deserve better fruits. Nguvu na jitihada zako ulizowekeza kutafuta pesa na Mali unatakiwa sasa uzifaidi.
Achana na wanawake waliotumika, used and second hand women.

Mara nyingi Sisi vijana ambao tulikuwa bize kusoma, kutafuta maisha, tunasahau kula maisha Bora na wanawake Wazuri wenye Tabia nzuri baadae tunaangukia kwa hawa waliojaa tamaa, waliochoka kwa kulala hoteli na vitanda vingi.

Ni ushauri wangu Leo kama we ni Mwanaume na umejipatia visent hakikisha wanawake waliotumika hupatani nao

Let women be accountable for their actions.

Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom