Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

You deserve better fruits. Nguvu na jitihada zako ulizowekeza kutafuta pesa na Mali unatakiwa sasa uzifaidi.
Achana na wanawake waliotumika, used and second hand women.

Mara nyingi Sisi vijana ambao tulikuwa bize kusoma, kutafuta maisha, tunasahau kula maisha Bora na wanawake Wazuri wenye Tabia nzuri baadae tunaangukia kwa hawa waliojaa tamaa, waliochoka kwa kulala hoteli na vitanda vingi.

Ni ushauri wangu Leo kama we ni Mwanaume na umejipatia visent hakikisha wanawake waliotumika hupatani nao

Let women be accountable for their actions.

Nimemaliza.
Kumpata mwanamke above 18 ambaye hajatumika labda sijui uende wapi maana hata vijijini nako balaa.
 
Angalau awe na tabia njema
Yeah maana akiwa na tabia njema na hofu ya Mungu ,atatulia kwenye ndoa.

Issue za Bikira naona kama hazina maana kwasababu hiyo sehemu inapitisha kichwa cha mtoto na inarudi kuwa normal unafurahia mtoto na unaendelea kukamua,kwahiyo hata huyo aliyemzibua kipindi cha nyuma ukija kumkuta wewe unakuta isharudi normal ,na pia kuna vitu vinawekwa huku kama jabu ,ndimu inazidi kubana.
 
Yeah maana akiwa na tabia njema na hofu ya Mungu ,atatulia kwenye ndoa.

Issue za Bikira naona kama hazina maana kwasababu hiyo sehemu inapitishwa kichwa cha mtoto na inarudi kuwa normal ,kwahiyo ata huyo alimzibua nyuma ukija kumkuta wewe unakuta isharudi normal ,na pia kuna vitu vinawekwa huku kama jabu ,ndimu inazidi kubana.
Angalau huyo unaweza kufikia, pengine alitumika kwa bahati mbaya au mazingira magumu lakini sio hawa wanatoana kwa kubadilisha Mabwana harafu eti baadae anakuja kujiliza kwako
 
, then anajibebisha eti awe Mke wako, Hata
Halafu hii tabia ya wanaume ku spin kuwa wanawake ndo wanawafwata fata muache.

Unakuta mtu anajitutumua weee kwa mdada hadi anatoboka mfuko, mdada akianza ku reciprocate jamaa anajifanya yeye ndo anatafutwa. Anajifanya hataki. Anajifanya anasumbuliwa sana.🤣

Acheni Bwana nyie mabwana kama mabinti
 
Naikawe hivyo wakuu, ili hao second hand girls waje kwangu allo.....😋
20260628_213935.jpg
 
Halafu hii tabia ya wanaume ku spin kuwa wanawake ndo wanawafwata fata muache.

Unakuta mtu anajitutumua weee kwa mdada hadi anatoboka mfuko, mdada akianza ku reciprocate jamaa anajifanya yeye ndo anatafutwa. Anajifanya hataki. Anajifanya anasumbuliwa sana.🤣

Acheni Bwana nyie mabwana kama mabinti
Wewe itakuwa uko huko vijijini, hapa Mjini wenye hela hawahangaiki kabisa na wanawake. Wanawake wako bize kinomaa wenyewe wanasema wako mbele ya muda hawasubiri
 
Back
Top Bottom