Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Angalau huyo unaweza kufikia, pengine alitumika kwa bahati mbaya au mazingira magumu lakini sio hawa wanatoana kwa kubadilisha Mabwana harafu eti baadae anakuja kujiliza kwako
Hayo manungayembe ni kuyapitia KUSHOTO kabisa mita 100....ni majini manyonyaji pesa mbele kama TAI.
 
namaanisha usiwe kimbelembele kana kwamba wewe ndio baba/mama mzazi wa mtoto/watoto husika, kuwa mpole tu - toa ushauri unapoombwa, fanya vitu unavyotakiwa kufanya na kamwe usijifanye wewe ni zaidi ya baba/mama mzazi.
Dose Dose
Noted
 
Back
Top Bottom