Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Mimi nitawaoa wote, iwapo nyie mtawatenga na kuwasusaWanawake single mother na wasio kuwa na bikra wasiolewe haiwezekani aliekuzalisha hakukuta na bikra tena ukawa single mother unasumbua kijana wawatu akuoe hapana hii haiwezekani.
Wanawake single mother na wasio kuwa na bikra wasiolewe haiwezekani aliekuzalisha hakukuta na bikra tena ukawa single mother unasumbua kijana wawatu akuoe hapana hii haiwezekani.
Kachemka leo.. πΉBasi mmeshajua mada ya bikra, single mam na ombamba ina kuwa na wachangiaji wengi basi mnapita mule mule..
Ngoja waje sijui kama watakusikia
hahahahaha wawe wanaliwa tu uroda sio?Wanawake single mother na wasio kuwa na bikra wasiolewe haiwezekani aliekuzalisha hakukuta na bikra tena ukawa single mother unasumbua kijana wawatu akuoe hapana hii haiwezekani.
hahahahahaha, nadhani anataka wawe wanaliwa tu uroda na utamu, ila wasioleweBasi mmeshajua mada ya bikra, single mam na ombamba ina kuwa na wachangiaji wengi basi mnapita mule mule..
Ngoja waje sijui kama watakusikia
Huyu atunge lingine tu imekuwa too muchKachemka leo.. πΉ
Ataacha ndala..
Hawa wanachanganya wadogo zetu. maana hao hao wanataka kuonja kabla ya ndoa, wanataka mvumilivu kabla ya ndoa , asieomba hela kabla ya ndoa.hahahahahaha, nadhani anataka wawe wanaliwa tu uroda na utamu, ila wasiolewe
hahahahahaha, hahahahahaha,hahahahahaha, wa hivyo labda wamtengeneze waoHawa wanachanganya wadogo zetu. maana hao hao wanataka kuonja kabla ya ndoa, wanataka mvumilivu kabla ya ndoa , asieomba hela kabla ya ndoa.
Ikifika muda wa ndoa wanataka bikra anayeomba hela kazi sana
Acha waendelee kupiga kelele mtandaoni wakiingia field watakana maneno yaohahahahahaha, hahahahahaha,hahahahahaha, wa hivyo labda wamtengeneze wao
πππBikra ndiyo nin??
Mambo mengine ya kipumbavuu mno
Single Maza tafsiri yake ni nn ??
Wewe ulijitunza au ulikausha mpaka ukaoa ndiyo ukaanza kumbatona kama sio acha usenge
Uwaharibu mabinti kwa kushindwa kuzuia nyege zako uje hapa kuwalaumu.....
Naaamuru dudu mtaro aachiliwe keshapona ukichaa wake cc BICHWA KOMWE cocastic Supapawa mbamizwa Poor Brain kijana wa AIM grains na electronics
Uzi uishie hapa na ufungwe kabisa.Suala la kuwa "single mother" au kutokuwa na "BIKRA" ni suala ambalo limeshika mijadala mingi kwenye jamii kwa sasa!!
Lakini naona wengi wao tunazungumzia zaidi matokeo lakini hautangalii chanzo zaidi.....kwanini tumefika hapa... kwanini tumekuwa na wimbi kubwa la kupotea kwa "BIKRA" na ongezeko kubwa la wamama wanaoitwa "Single mother"
Inafahamika ya kuwa hizo "BIKRA" na "single mother" havitokei pasi na kuhusika kwa mwanaume kwa kuwa ukamilifu wake unamhitaji mwanaume iwe moja kwa moja au kwa njia za mkato!!
Sidhani kama bikra ya mwanamke huwa inatoka kwa kujiingiza vidole yeye mwenyewe au mwanamke anaweza kubeba mimba kwa kujiingiza vidole yeye mwenyewe yote hayo yanaonyesha jinsi gani mwanamume anashiriki kikamilifu kwenye kusababisha hiki kinacholalamikiwa kwa sasa kwenye jamii......
Kwa tafsiri nyingine ni kwamba ingekuwa wanaume wangeamua kutofanya fanya mapenzi au ngono mpaka waoe automatically kusingekuwa na mwanamke asiyekuwa kuwa na bikra.....ingekuwa wanaume tungeamua kuishi na kushikamana na wanawake tuliowazalisha ni dhahiri kuwa kusingekuwa na single mother kwa kuwa matokeo ya haya mambo wanaume tunashiriki moja kwa moja kwa kuwa kutokea kwake kinahitaji uwepo au ushiriki wa jinsia mbili!!
Swali lang linakuja kwanini jamii haioni huu uovu wa wanaume wa kulala na wanawake ambao hawajawaoa au kuwapa mimba holela wanawake na kuwaacha kwanini lawama zinapelekwa kwa wahanga pekee!!?
Kama vijana wa kiume wangekuwa wameyashinda matamanio yao mpaka watakapooa maana hakuna binti ambaye angeharibikiwa vivo hivyo kwa kuwapa mimba maana hayo matendo yanafuatana kwani mimba ni matokeo ya ngono kitendo kinapelekea mwanamke kupoteza usichana wake!!!!
Nadhani ifike wakati hili jambo tuliangalie kwa mapana na marefu zaidi kuliko kuyaangalia matokeo peke yake na kuwalaumu wahanga tu!!
Sio wote waliokutwa na masahibu haya ni waovu na viruka njia wengine ni wahanga wa wanaume mabazazi , matapeli na walaghai.... unaweza usinielewe kama huna mtoto wa kike aliyevunja ungo na kuingia katika usichana!!!
TUJITAFAKARI
hahahahaha,Acha waendelee kupiga kelele mtandaoni wakiingia field watakana maneno yao