Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
sasa kwa nini u-date matatizo wakati wanawake wasio na watoto ni wengi sana?
Siongle mama for single baba, angalau wana common story ya kuongelea.
Kwa African family rafiki, wangu ndio ukweli mchungu.
Haya kila la heri kwenye izo dirdo na silicon robots, new era masturbation...Kwa African family rafiki, wangu ndio ukweli mchungu.
Kijana wa miaka 30 akadate mdada wa miaka 29 mwenye mtoto wa miaka 3, makuzi yenu ya Mwaka 1947 yanasemaje????
Mupe ukweli bana, muwambie usimufiche...mi ndo maana niliwaambia home nikioa mke atakuwa mke wangu mimi sio mke wa familia, so sitaki kusikia maneno mingimingi...Mwisho wa siku mahusiano yanakuwa ni yenu wenyewe. Na hamna kitu kizuri kama kupata mwenzi ambae anakulinda na familia yake kama ambavyo Franky anasema "sio nduguze watakaokuwa na wewe". Raha jipe mwenyewe mama, usisubiri wakwe+mawifi waamue.
Mupe ukweli bana, muwambie usimufiche...mi ndo maana niliwaambia home nikioa mke atakuwa mke wangu mimi sio mke wa familia, so sitaki kusikia maneno mingimingi...
Sasa hapo Babu unakuta mdada ana 38+ ana date na mvulana wa 27 kwa hiyo hawa bado watoto kwa vile hawajaoana?
Kama Mungu yu upande wangu naamini atanishindia vita mbele ya watesi wangu, Amina!Mungu akikuchukua watamgombea kama mpira wa kona
Kama Mungu yu upande wangu naamini atanishindia vita mbele ya watesi wangu, Amina!
Wewe unafaa sana kwa matumizi ya mwanamke anaefaa kufanywa mke.Mupe ukweli bana, muwambie usimufiche...mi ndo maana niliwaambia home nikioa mke atakuwa mke wangu mimi sio mke wa familia, so sitaki kusikia maneno mingimingi...
Baelezee Mdogo wangu, hasa huyo babu yako Dark City anayetuona kama scrapper. Tena mkumbushe kuhusu wale 'mabinti' wanaotoa mimba kila kukicha ili kumaintain 'usichana'.
unakumbuka mwaka huu tumeaamuaje kwa yeyote anayegusa anga zinazotuhusu negatively!NAKUANGALIA UNAVOKEEP U WORDS!hakuna kukubalia hayo makitu ya negativityUmeona eeh; mara tunaambiwa tuko vulnerable as if tunapick tu kila kinachosimamisha. LOL
Frankly speaaking, mtu ambaye hajao au kuzaa anachukuliwa kwamba ni mtoto....ndiyo maana walitushauri kuwa watoto wacheze pamoja na watoto nao vile vile....
Babu DC!!
Baelezee Mdogo wangu, hasa huyo babu yako Dark City anayetuona kama scrapper. Tena mkumbushe kuhusu wale 'mabinti' wanaotoa mimba kila kukicha ili kumaintain 'usichana'.