TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
We are never a priority!!!. Tuki act tofauti na sisi kutokana na changamoto hiyo, tunaonekana kama wanaume tusiojali. Zipi ni njia za kukabiliana na changamoto hii kwa vijana chini ya umri wa miaka 35 (close to 30): Je ni kuachana na wanawake wa aina hii au kuna namna ya kuendeleza uhusiano wenye rutuba?
Mkuu uzuri wao hawana ghalama hao kama hivi vidogo vidogo full usumbufu
