Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Uzee unakupeleka pabaya. ina maanisha miaka haiangaliwi? mtu hajaoa ana miaka 35 ni mutoto?
Nadhani wewe ndiyo unataka kumtukana Babu,
Ila hata ukiwauliza watu wazima wengine watakueleza kuwa hata ungekuwa na miaka 100, kama bado uko single au huna mtoto, basi katika mtazamo wa mambo ya unyumba na malezi ya familia (watoto) wewe ni mtoto tu....
Endelea kubisha but is a fact...!!
Babu DC!!