Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
[emoji23][emoji23][emoji23] kaka nilimaliza elimu yangu ya Shahada miaka 5 iliyopita.Vijana waliokosa udahili wa vyuo wanakuja kumalizia stress zao kwa single mother, subir second selection.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] kaka nilimaliza elimu yangu ya Shahada miaka 5 iliyopita.Vijana waliokosa udahili wa vyuo wanakuja kumalizia stress zao kwa single mother, subir second selection.
Thibitisha[emoji23][emoji23][emoji23] kaka nilimaliza elimu yangu ya Shahada miaka 5 iliyopita.
Hii ndio conclusion ya hiyo mada mkuu... Hzo hzo comment zngne ni mbwembwe tu[emoji12][emoji12]Uliona wapi, mechi kabla mechi haijaanza ubao unasoma 2_0 au 1_0?
Unataka niappload hapa cheti au?Thibitisha
Sasa kama huwezi thibitisha tutaamini vp kama ulimaliza elimu ya juu miaka 5 iliyopita? Maana uandishi wako unaakisi kuwa wewe ni muhanga wa waliokosa vyuoUnataka niappload hapa cheti au?
Uandishi gani? Hunijui sikujui niache kama nilivyo. Nimeshakwambia nilimaliza chuo kwa level ya shahada sometime ago. Do you know me.Sasa kama huwezi thibitisha tutaamini vp kama ulimaliza elimu ya juu miaka 5 iliyopita? Maana uandishi wako unaakisi kuwa wewe ni muhanga wa waliokosa vyuo
Tokea lini Mwanaume akawa na "bikra"?? Pia sio lazima kula "mizoga" kama "fresh" ipo na inapatikana.wewe bikra??
Unachekesha wewe. Hebu fatilia nyuzi zangu humu kuna zingine zina part ya maisha yangu then utajua kuwa unaongea na mtu wa level gani. Mi sio underage kama wewe.Naona umepanik kijana, OK.this time hawatakuacha watakuchagua tu.
Tokea lini Mwanaume akawa na "bikra"?? Pia sio lazima kula "mizoga" kama "fresh" ipo na inapatikana.
Huna lolote we njuka tu, uandishi wa mada zako unathibitisha hivyoUnachekesha wewe. Hebu fatilia nyuzi zangu humu kuna zingine zina part ya maisha yangu then utajua kuwa unaongea na mtu wa level gani. Mi sio underage kama wewe.
Ok sawa. Tuishie hapa.Huna lolote we njuka tu, uandishi wa mada zako unathibitisha hivyo
OK Siku nyingine ujifunze kuandika usiparamie kisa tu eti hatujuani humuOk sawa. Tuishie hapa.
Hebu toa kasoro za kiuandishi unazoziona wewe? We jamaa vipi? Tunachojadili ni kitu kingine......we unaleta mada nyingine. Nishakwambia hunijui. Uandishi wangu na personality yangu ni vitu viwili tofauti. Humu tunatumia ID fake naweza fanya chochote. Mi sio mtoto mdogo kama unavyodhani.OK Siku nyingine ujifunze kuandika usiparamie kisa tu eti hatujuani humu
Upo likizo ya wp ww wacha kuzingua watuHebu toa kasoro za kiuandishi unazoziona wewe? We jamaa vipi? Tunachojadili ni kitu kingine......we unaleta mada nyingine. Nishakwambia hunijui. Uandishi wangu na personality yangu ni vitu viwili tofauti. Humu tunatumia ID fake naweza fanya chochote. Mi sio mtoto mdogo kama unavyodhani.
Niko likizo nimechill home kwanini nisifanye ninachojisikia?