wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Ivi kwanini kifo cha mende nimaarufu sana kuliko wadudu wote watambaao na kupaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bac utakua humpnd uyo girlfrnd ulie nae, hauna malengo nae kuna vbint Vko kwenye adolescence age na hua vnahtaji ushauri wa hal ya juu coz hua wanavamia mambo bila kuelewa ukisema shauli ake, Brother i promice u ur soon going to be a single father Or father of someoneThis is anothe case. Ushasema mke....tukiwa mwili 1 tutapanga sote. Nikiwa sijakuowa wewe sio mwili wangu take care of yourself.
Sijazungumzia issue ya kuchepuka hapa. Kuchepuka hata bint aliyeolewa bikra anachepuka.
Uliona wapi, mechi kabla mechi haijaanza ubao unasoma 2_0 au 1_0?
si kila singo maza ni mzinziKutetea single mothers ni kutetea uzinzi
Bac utakua humpnd uyo girlfrnd ulie nae, hauna malengo nae kuna vbint Vko kwenye adolescence age na hua vnahtaji ushauri wa hal ya juu coz hua wanavamia mambo bila kuelewa ukisema shauli ake, Brother i promice u ur soon going to be a single father Or father of someone
Unawasema single mother si kazi umelelewa Na baba Wa kambo au umezaliwa nje ya ndoa,pole Sanaa..
Kuna jamaa alikuwa anakazia kama wewe ingalia Kalelewa na baba Wa kambo hadi anajitambua.
Hayo maelezo uliyotoa ni ufafanuzi na madhara ya hii amri ya saba " USIZINI "
Hayo maneno Nataman uje umwambie binti yko cku akijazwa mimbanyie wanawake bwana sijui mnakuwaje...ngono ni tendo la kibinafsi hamna mapenzi hapo sasa wewe ukijaa mimba huo ni ujinga wako watu wanakubwaga tuu.
na mwanamke ukishagegedwa huna chakusema tena ...damaged goods already.
Hahahahahahahaaaaa acha nicheke mie hivi unaelewa maana ya uzinzi mkuu..???si kila singo maza ni mzinzi
Ukiona mtoto wako anapata ujauzito chini ya uangalizi wako ujue kama mzazi kuna sehemu ulipungua katika malezi yako kwake.Hayo maneno Nataman uje umwambie binti yko cku akijazwa mimba
Kama si uzinzi kumbe nini?si kila singo maza ni mzinzi
MmmhUkiona mtoto wako anapata ujauzito chini ya uangalizi wako ujue kama mzazi kuna sehemu ulipungua katika malezi yako kwake.
Baba yangu na mama yangu waliowana tarehe 31 August mwaka 19*6 mimi nikazaliwa * May 19*8 ni takribani mwaka 1 na miezi 9 tangu waowane ndio mi nazaliwa. Nimezaliwa ndani ya ndoa. Wazazi wangu bado wanafurahia ndoa yao. Una lingine la kusema?Unawasema single mother si kazi umelelewa Na baba Wa kambo au umezaliwa nje ya ndoa,pole Sanaa..
Kuna jamaa alikuwa anakazia kama wewe ingalia Kalelewa na baba Wa kambo hadi anajitambua.
Ukitanguliza moyo badala ya kichwa hayo ndio madhara yake. Macho hupotosha moyo kama kichwa hakiko sawa sawa. Fikiri kwanza usisingizie upendo. Kuna upendo bila akili?Bac utakua humpnd uyo girlfrnd ulie nae, hauna malengo nae kuna vbint Vko kwenye adolescence age na hua vnahtaji ushauri wa hal ya juu coz hua wanavamia mambo bila kuelewa ukisema shauli ake, Brother i promice u ur soon going to be a single father Or father of someone