Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ivi kwanini kifo cha mende nimaarufu sana kuliko wadudu wote watambaao na kupaa
 
This is anothe case. Ushasema mke....tukiwa mwili 1 tutapanga sote. Nikiwa sijakuowa wewe sio mwili wangu take care of yourself.
Bac utakua humpnd uyo girlfrnd ulie nae, hauna malengo nae kuna vbint Vko kwenye adolescence age na hua vnahtaji ushauri wa hal ya juu coz hua wanavamia mambo bila kuelewa ukisema shauli ake, Brother i promice u ur soon going to be a single father Or father of someone
 
Sijazungumzia issue ya kuchepuka hapa. Kuchepuka hata bint aliyeolewa bikra anachepuka.

wee umenena ukweli. hawa kuchepuka ndio jadi yao...weee oa ili uwage na pakupozea wakati mchepuko unaowinda bado hujatoa papuchi
 
Bac utakua humpnd uyo girlfrnd ulie nae, hauna malengo nae kuna vbint Vko kwenye adolescence age na hua vnahtaji ushauri wa hal ya juu coz hua wanavamia mambo bila kuelewa ukisema shauli ake, Brother i promice u ur soon going to be a single father Or father of someone

nyie wanawake bwana sijui mnakuwaje...ngono ni tendo la kibinafsi hamna mapenzi hapo sasa wewe ukijaa mimba huo ni ujinga wako watu wanakubwaga tuu.
na mwanamke ukishagegedwa huna chakusema tena ...damaged goods already.
 
Unawasema single mother si kazi umelelewa Na baba Wa kambo au umezaliwa nje ya ndoa,pole Sanaa..

Kuna jamaa alikuwa anakazia kama wewe ingalia Kalelewa na baba Wa kambo hadi anajitambua.

kosa la mzazi halihalalishi ujinga.
 
Kama singo moms wanapewa mimba na mbuzi ni halali kuwasema ila kumbuka ni wanaume haohao mashababi na malijali ndo walio simamia ukucha kwenye show mpka mimba zikaingia na kwanini alaumiwe mwanamke wakati kwenye mtombano walikua wote....mnasema oooh wanatabia chafu nyie je ndo kusema watakatifu sana??? Me nadhani ungehamasisha wanaume kutumia mipira wakati wa mechi kama mtu huna future nae well condom hamziwez na kudinyana peku mnapenda so ni jukumu Lenu mnaodinyana kuchukua tahadhari juu ya kunasa mimba....na lawama asibebe mwanamke pekeake as if alijifinger na kujijaza mimba mwenyewe ....wengi umu mnajitia oooh hatuoi single maza lkn kila cku ao masingo maza wanaolewa vzuri tu...everything happen for a reason...
 
Unawasema single mother si kazi umelelewa Na baba Wa kambo au umezaliwa nje ya ndoa,pole Sanaa..

Kuna jamaa alikuwa anakazia kama wewe ingalia Kalelewa na baba Wa kambo hadi anajitambua.
Baba yangu na mama yangu waliowana tarehe 31 August mwaka 19*6 mimi nikazaliwa * May 19*8 ni takribani mwaka 1 na miezi 9 tangu waowane ndio mi nazaliwa. Nimezaliwa ndani ya ndoa. Wazazi wangu bado wanafurahia ndoa yao. Una lingine la kusema?
 
Bac utakua humpnd uyo girlfrnd ulie nae, hauna malengo nae kuna vbint Vko kwenye adolescence age na hua vnahtaji ushauri wa hal ya juu coz hua wanavamia mambo bila kuelewa ukisema shauli ake, Brother i promice u ur soon going to be a single father Or father of someone
Ukitanguliza moyo badala ya kichwa hayo ndio madhara yake. Macho hupotosha moyo kama kichwa hakiko sawa sawa. Fikiri kwanza usisingizie upendo. Kuna upendo bila akili?
 
Back
Top Bottom