Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hatariii Brother,.unaeza oa huyo binti and still akawa ni mama wa marehemu (kashachomoa mimba ktambo) na mbya zaid ackuzalie, et wanaume kazi yenu kutandka kwahyo ukioa mkeo ye ndo apange jinsi mtakavyozaa watoto interval yao wapishane Vip, we unatandka......
This is anothe case. Ushasema mke....tukiwa mwili 1 tutapanga sote. Nikiwa sijakuowa wewe sio mwili wangu take care of yourself.
 
Izi mada izi ...

Mimi naamini Singo mama ataolewa namwanaume yule wanayependana.
And that is the truth. Mtoa mada naona amkuja kwa kasi kama amekunywa chai ya moto.
Kwanza si singo mothers wote ni wabaya, au walikuwa na tabia chafu huo si ukweli. Japokuwa asilimia kubwa hapo walipo ni wao walichangia kujiharib kwa tabia chafu.

Asilimia ndogo wanajielewa.. na wanaoleka vizuri na ni wife material wanao eleweka.
 
Umenena vyema. Wamejiharibu wenyewe. Wengi wana tabia chafu. Wachache wenye tabia nzuri wife material. Ukibahatika naye oa. Sijakukataza.
 
And that is the truth. Mtoa mada naona amkuja kwa kasi kama amekunywa chai ya moto.
Kwanza si singo mothers wote ni wabaya, au walikuwa na tabia chafu huo si ukweli. Japokuwa asilimia kubwa hapo walipo ni wao walichangia kujiharib kwa tabia chafu.

Asilimia ndogo wanajielewa.. na wanaoleka vizuri na ni wife material wanao eleweka.
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom