Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

" Ona akili za wanaume zilivyo" hiyo sentensi ndo imenifanya nijue wewe ni mtu wa namna gani,kama sio mwanamke basi wewe ni mchicha mwiba a.k.a shoga mwanaume mwenye tabia za kimama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi NI MWANAUME tena Mwanaume msukuma na mwenye mashine kama ya Punda !!! .

Nmesema 'Ona akili za wanaume" maana yake kimawazo Nimejitoa kwenu yaaan tumetofautiana mawazo na mitazamo.

Rejea koment yako, ndo utajijua vzuri wee ni mwanaume au SHOGA !!
 
"Wanawake wanaojielewa hawawezi mbebesha majukumu Hawara" nmeyanukuu maneno haya kama sehem ya kukujaji .

Unazungumzia nn kusema Hawara?? Inamaana Umemtongoza ukijua kua Unataka kupiga tu nakuamsha ??? .. Kwa uelewa wako unahisi Wao huwa hawajui kua wewe umeenda kama hawara na nini wanacho takiwankufanya??? Ukienda kama Hawara mpitaji ,lazima Ukubaliane nahali utakayokutana nayo yaan "Utoaji wa Pesa kubwa kubwa" kwasababu anajua kupitia hiyo hiyo pesa, MWANAWE ALOKIMBIWA NA BABA YAKE ,ANATAKIWA ALE, AVAE NA ASOME KUPITIA IYO PESA !! They Know !!! .... Sasa unataka kwakua umeenda kama Hawara mpitaji Basi ndo uishie kula Utamu wake ,KWA KISINGIZIO CHA "NMEKUPENDA WEWE TU"" ........

, alafu unipate hapa, NI UNAFIKI WA HALI YA JUU SANA KUSEMA UNAMAPENZI NA MWANAMKE ILIMRADI UNACHUKIZWA NAMWANAWE AU UNASHINDWA KUCHUKUA NAFASI YA UBABA KWA MTOTO WAKE ,NAHUKU UKIJUA KUA DAMU YA MTOTO WAKE NDIO DAMU YA MWANAMKE UYO UYO UNAYESEMA UNAMPENDA...... NINI MAANA YA KUPENDA HPO??? .

IVI UNAJUA KWA MWANAMKE ,MTOTO WAKE NIKM KILIVYO KIUNGO CHAKE??? UNAJUA MWANAMKE MTOTO WAKE NIKM FIGO /MOYO WAKE ?????? .

SASA KWANN USHINDWE KUJIONGEZA TU NAKUJUA HIZI DAMU MOJA LAZIMA NIZIISHI SAWASAWA???

UNADHAN HATA KAMA UMEENDA KM HAWARA MPITAJI, HUYU MAMA MWANAWE AKIUMWA , UTAKIPATA UNACHOTAKA ?????

KWANN UMUISHI MTOTO WAKE KWAHSIA MBOVU TENA NEGATIVE ETI " HATOKAA ANISAIDE " NANI ANAJUA BAADAE ZETU???? WANGAPI WAMEKUJA KUSAIDIWA NA WATOTO WAO WAKAMBO??? WANGAPI??? AU UNATAKA NIKUPE NAMIFANO YA WATU WAKUBWA WALIOKO SERIKALIN NAVYOMBO VYA DOLA AMBAO NI MATOKEO YA UTOTO WA KAMBO NASAIZI BABA ZAO HAO WAKAMBO WANAISHI MAISHA MAKUBWA YASOKUA NAMFANO???? .

HUWEZ KAAA UISHI NA MAWAZO HASI YANAMNA HIYO JUU YA KIUMBE AMBAYE BADO HAJUI HATIMA YAKE.

WALIPOSEMA SAMAKI MKUNJE INGALI MBICHI WALIKUA NAMAAANA GAN?? MTOTO UTAAVYOMLEA NDIVO ATAKAVYOKUA ,HAIJALISHI NI MTOTO WAKAMBO AU NIWAKO HAIJALISHI ILO , HUYU MTOTO WA KAMBO UNAWEZA KUMUISHI NAMAISHA YAKE YOTE WEWE NDO UKAWA BABA YAKE.

NAKUPA MFANO.. MOJA WA WAJOMBA ZANGU ALIMKATAAGA MWANAMKE NA MTOTO, HUYO MAMA AKAOLEWA. ALIYEMUOA KASOMESHA SANAA MPAKA JAMAA SAIZ NI PhD holder , mambo si mambo Magufuli kampa boooooonge la kitengo, Jamaa Kamshushia Uyo BABA WAKAMBO BOOOOOONGE LA MJUMBA ,KWAUFUPI KABADILISHA MAISHA MAKUBWA YA BABA WAKAMBO NA MAMA YAKE.

Niseme ivi,,, KAMA UMEMTONGOZA MWANAMKE MWENYR MTOTO KWA LENGO LA KUOA NILAZIMA UMPENDE MWANAYE TENA UMPENDE SANAAAA !!

kama umemtongoza ukiwa kama HAWARA MPITAJI ,NILAZIMA UKUBALIANE NA HALI YAKE NA NILAZIMA USITUMIE SABABU YA KUMPA HUDUMA KUMUACHANISHA NA MWANAWE.

YAAAN NIIVI, UWE UMEMTONGOZA KWA LENGO LA KUPITA, AU KWA LENGO LA KUA NAYE KIMAISHA,, HATA KAMA HATOKUOMBA UMUHUDUMIE NILAZIMA UJIONGEZE KUA , MTOTO ANAHITAJI MALEZI YA BABA ILI AZIDI KUA MTOTO WAKIUME ATAKAYEKUJA KUA MWANAUME KAMA WEWE.

MIMI NASEMA IVI, NI UNAFIKI WA HALI YAJUU KUMNUNULIA HUYI MWANAMKE NGUO YA SIKUKUU , HUKU UKIACHA MWANAWE BILA KUMNUNULIA NGUO YA SIKUKU !!! hiyo sio akili bali ni tope.... Nimara mia Mwanawe Umnunulie alafu yeye Usimnunulie.

( Nyinyi ndo baadae mnakujaga humu kuanzisha minyuzi isokua namaana eti " Masingo maza punguzeni Mizinga" ) ...una akili kweli????? Ushindwe kumjali mwanawe waziwazi utegemee usimjali bila wewe kujijua kama unamjali?????.

NINGEKUA NA NGUVU YA AJABU. NINGEWAFANYA WANAUME WOTEEE MNAOWAFATA HAWA WAMAMA KWA LENGO LA KUPIGA TU, MUWE MAZEZETA KIASINKWAMBA KILA PESA ATAKAYOKUOMBA UYU MWANAMKE UITOE HARAKA na IENDE KUMLEA MWANAYE !!.

Bado narudia nilichokisema MWANAMKE ANAEJIELEWA HAWEZI KUMBEBESHA HAWARA MAJUKUMU YA KULEA MTOTO WAKE ALIYEZALISHWA NA MWANAUME MWINGINE KWA MALIPO YA KUTOA KITUMBUA, vinginevyo mwanamke huyo amekubali kuonekana malaya(hana self-respect) anayemlea mtoto kupitia mwili wake... inaeleweka vizuri?

Nikiwa kama hawara sina chochote ninachohitaji kutoka kwa mtoto wake hivyo sina sababu yoyote ya ku-invest kivyovyote vile kwa mtoto wake, kwani huyo mtoto hana baba? hana wajomba ambao ni damu yao? hana mababu? basi tuna assum hana hao wowote niliowataja sasa je kwanini iwe ni lazima mimi kumhudumia huyo kiumbe ambaye mimi sikuwepo wakati anatafutwa? kwanini kama ni kutoa isiwe ni kwa ihali yangu mimi mwenyewe tena pale ninapojiskia?.... kwanini yeye kunipa utamu iwe kigezo cha mimi kubeba hizo liabilities? kwanza huo utamu ninauskia mimi mwenyewe tu..? kwanini mimi sipotezi energy yangu tunapopoeana utamu..? dude achana na hiyo mentality ya kuamini kwamba sex ina benefit kwa mwanaume tu.. acha kabisa unaonekana uko manipulated.

Mimi kudate na single mother bila kujihusisha na mwanae kwa namna yoyote ile haimaniishi kwamba eti nnamchukia, kama kutokumjali mtu asiyenihusu ni kumchukia basi katika dunia hii ninawachukia wengi sana. Mimi nimevutiwa na Anna na wala sijavutiwa na uzao wa Anna nielewe.

Huo mfano wa mjomba yako ni case chache sana tunazoziona ukilinganisha na kinyume chake, ninaweza nikasema watu kama huyo jamaa aliyekataliwa na mjomba yako ni wawili kati ya milioni. Hivyo haiondoi ukweli wa kwamba ukilea mtoto wa single mother more often than not atakuja kumjali zaidi mama na wewe kwake utabaki kuwa mtu baki tu... sasa ya nini nianze kucheza kamali?

Kujifanya unalea mtoto asiyekuhusu kwa sababu tu unapewa vagina niuzwazwa wa hali ya juu, watu kama hao mimi nawaita SEX STARVED SLAVE.
 
Mimi NI MWANAUME tena Mwanaume msukuma na mwenye mashine kama ya Punda !!! .

Nmesema 'Ona akili za wanaume" maana yake kimawazo Nimejitoa kwenu yaaan tumetofautiana mawazo na mitazamo.

Rejea koment yako, ndo utajijua vzuri wee ni mwanaume au SHOGA !!
Umejitoa kwenye kundi la wanaume,sasa hayo mambo ya punda yanatoka wapi Wewe ni shoga nimefuatilia nyuzi zako unawaelekeza watu jinsi ya kumjali mwanaume,wewe ni shoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Mwanaume.

Kwanza lazima Ujue Mtoto aliyezaliwa hana kosa , na hakulazimishwa kuja dunian, Bali aliwekwa tumbon ,ila kwa namna moja nanyingine Walomleta wakaachana,...

IVI UNAJUA UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE NI MAMA YAKE nasio Mwanaume??? .

Ndio keshazaa, ulitaka amtupe?? Yaan maumivu yote ya leba ,miezi yote ya mahangaiko ya mimba. Kutapika, kususia vyakula, kuumwa, kuzimia , Leo AJE AZAE ALAFU AMTUPE MWANAWE KISA BABA WAMIMBA KAMKIMBIA????? .

KWANZA MLAANIWE WANAUME WOTEE MNAIWAPA MIMBA WANAWAKE NAKUZIKATAA ,MLANIWE ZAIDI YA WALOLAANIWA.

nakuja kwako.

Umemwona Mwanamke ana mtoto. Ila yupo singoo, Moyo wako umempenda maana mapenzi hayana macho. umemtongoza kakubali. alafu leo hiii kisa umeshakula mzigo Uanze ohoooo mtoto ohooo mpeleke kwao ohooooo sijui nn .. Ulipomfata hukujua anamtoto??? Nakwann umpende Mama mtu ,alafu uchukie mwanawe??? HUO NI UPENDO AU ILLUSION???? ... wewe huwapendi hata watoto wa majiran?? Kama unawapenda kwann umchukie mtoto wa Mwanamke wako anayekuvulia chupi?????

Unajua huyo mtoto baadae atakua nani?? Wakat ambao watoto wako wameishia kua walevi????

inaweza kua Disgraceful Pregnancy BUT KAMWE HATOKUA DISGRACEFUL CHILD!!

MTOTO WA MWENZIO NISHARIT UMUONE KAMA MTOTO WAKO. NA MWENZIO NIHUYO MWANAMKE ULOMTONGOZA KWA KILA AINA YA MBWEMBWE.

Wanawake wanaojielewa na huru HAWATOKAA WARUHUSU UHUNI WA WANAUME KM WEWE.

watakaoruhusu niwale ambao hawana elimu. Hawana maisha yaan ni Tegemezi.

HIVYO , WANAWAKE MJITAHIDI SANA KUA NA UCHUMI BINAFSI , UKIWA NAUVHUMI BINAFSI ,HAWA WANAUME WATAWAABUDU NYINYI NA WATOTO WENU.

alafu nikupe somo..."UKITAKA UFAIDI RAHA ZA HAWA WANAWAKE. HAKIKISHA UANMPENDA SAAAAAAAAAANA MTOTO WAKE , HAPO ATAKUPA RAHA. AMANI NAKILA AINA YA JEMA UNALOTAKA"...unajua kwann??? KWASABABU UNAMFANYA ASIMUWAZE BABA MTU KWANN HATOI PESA ZAMATUMIZI.

Kinyume nahapo. Atawasiliana na Baba mtoto wake Pesa ya mtoto...alafu ukikuta mawasiliano unaaanza kununa..SASA HII NI AKILI AU MATOPE???

haijalishi ni mama wa mtoto au Hana mtoto , hivo havitaondoa ukweli kua ni Mwanamke na daima lazima umuishi kama mwanamke , umfanye kua Malikia kwako kisha utamfurahia.
Unajiita Carlos afu tena unajitambulisha kwamba wewe ni mwanaume, unaona ulivyokua shoga
 
Bado narudia nilichokisema MWANAMKE ANAEJIELEWA HAWEZI KUMBEBESHA HAWARA MAJUKUMU YA KULEA MTOTO WAKE ALIYEZALISHWA NA MWANAUME MWINGINE KWA MALIPO YA KUTOA KITUMBUA, vinginevyo mwanamke huyo amekubali kuonekana malaya(hana self-respect) anayemlea mtoto kupitia mwili wake... inaeleweka vizuri?

Nikiwa kama hawara sina chochote ninachohitaji kutoka kwa mtoto wake hivyo sina sababu yoyote ya ku-invest kivyovyote vile kwa mtoto wake, kwani huyo mtoto hana baba? hana wajomba ambao ni damu yao? hana mababu? basi tuna assum hana hao wowote niliowataja sasa je kwanini iwe ni lazima mimi kumhudumia huyo kiumbe ambaye mimi sikuwepo wakati anatafutwa? kwanini kama ni kutoa isiwe ni kwa ihali yangu mimi mwenyewe tena pale ninapojiskia?.... kwanini yeye kunipa utamu iwe kigezo cha mimi kubeba hizo liabilities? kwanza huo utamu ninauskia mimi mwenyewe tu..? kwanini mimi sipotezi energy yangu tunapopoeana utamu..? dude achana na hiyo mentality ya kuamini kwamba sex ina benefit kwa mwanaume tu.. acha kabisa unaonekana uko manipulated.

Mimi kudate na single mother bila kujihusisha na mwanae kwa namna yoyote ile haimaniishi kwamba eti nnamchukia, kama kutokumjali mtu asiyenihusu ni kumchukia basi katika dunia hii ninawachukia wengi sana. Mimi nimevutiwa na Anna na wala sijavutiwa na uzao wa Anna nielewe.

Huo mfano wa mjomba yako ni case chache sana tunazoziona ukilinganisha na kinyume chake, ninaweza nikasema watu kama huyo jamaa aliyekataliwa na mjomba yako ni wawili kati ya milioni. Hivyo haiondoi ukweli wa kwamba ukilea mtoto wa single mother more often than not atakuja kumjali zaidi mama na wewe kwake utabaki kuwa mtu baki tu... sasa ya nini nianze kucheza kamali?

Kujifanya unalea mtoto asiyekuhusu kwa sababu tu unapewa vagina niuzwazwa wa hali ya juu, watu kama hao mimi nawaita SEX STARVED SLAVE.
Unaona sasa wakati kwenye hiyo sex hata mwanamke mwenyewe anafaidika
 
Mkuu we unaongea tu ,baba atabaki kuwa baba kwasababu wale ni damu moja tofauti na baba wa kufikia,kumbuka lile ni bao lake kabisa na mtoto lazima ampe thamani baba ake wewe ulitemlipia ada ni wa kupita tu,damu ni nzito kuliko hiyo ada uliyomlipia ambayo inaweza isifike hata 20 ml
Yaani kabisa mtu anaamini eti ada za milioni 5 sijui 10 pamoja na vizawadi vya hapa na pale vinaweza vikanunua uzazi wa moja kwa moja? watu wana utani hawa.. baba ni baba tu, acha waendelee kubet
 
Unajiita Carlos afu tena unajitambulisha kwamba wewe ni mwanaume, unaona ulivyokua shoga
Kwaakili yako Carlos unayemjua niyule mcheza movies ???

Sasa mcheza movies alijiita Carlos kutokana na Huyu "Carlos The Jackal"...kasome upate Info za huyu Jamaa!!

Yalobaki niseme itakua ni Ujinga wakiwango cha Lami.
 
Hamna kitu kama iko...ona akili za wanaume zilivyo zakipuuzi...AKILIPIWA ADA NA BABA YAKE MZAZI ..utasema nyie bado mnawasiliana.

Mama mtu akikuomba Ada..unasema sina.... Akikuomba Ruhusa yakwenda ofisin kwa baba mtu kuchukua pesa ya ADA...unavuta mdomo kama Falaaa.... Akimpigia simu ndo UTAMWAMBIA WEKA LOUD SPEAKER ,,, Ikiingia meseji akiuuliza hali ya mtoto au meseji ya hela..ndi unaanza kulalama, ohoooooo kwann akutumie pesaaa ,yann..ohoioo kwann umwambie mtoto anaumwa wakat nipo??? ...... Hii sio akili ni Matope !!

Kwaiyo unataka kotekote huduma ya mtoto aikose!!???

Ni Unyau wa kiwango cha juu sana , kumfanya mtoto ajute kwann ANAISHI!!!
Kwangu mimi sio sawa kuingilia mahusiano( ya mama na mzazi mwenzie), sababu wale tayari wana kitu kinachowaunganisha milele.

ila suala la mama kuniamishia majukumu ya huyo mzazi mwenzake hiyo ni never never never happen tu.
 
Yaani kabisa mtu anaamini eti ada za milioni 5 sijui 10 pamoja na vizawadi vya hapa na pale vinaweza vikanunua uzazi wa moja kwa moja? watu wana utani hawa.. baba ni baba tu, acha waendelee kubet
Vitu vingine piga hesabu hata wewe mwenyewe labda ungekuwa ndo huyo mtoto lazima ungempa thamani baba ako mzazi na sio huyo wa kufikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona sasa wakati kwenye hiyo sex hata mwanamke mwenyewe anafaidika
Si ndio hapo sasa, na wakati huyo huyo mwanamke siku asipokuwa kwenye mood anakwambia kabisa "leo sijiskii" na unakuwa mpole tu, siku akikubali ujue yuko kwenye mood, hivyo hata yeye mwenyewe ana nyege.. halafu eti ukitoka hapo unaanza kukata misimbazi na asante nyiiing.. mamaee!! SAYNOTOPUSSYSLAVERY
 
Si ndio hapo sasa, na wakati huyo huyo mwanamke siku asipokuwa kwenye mood anakwambia kabisa "leo sijiskii" na unakuwa mple tu, siku akikubali ujue yuko kwenye mood, hivyo hata yeye mwenyewe ana nyege.. halafu eti ukitoka hapo unaanza kukata misimbazi na asante nyiiing.. mamaee!! SAYNOTOPUSSYSLAVERY
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi sio sawa kuingilia mahusiano( ya mama na mzazi mwenzie), sababu wale tayari wana kitu kinachowaunganisha milele.

ila suala la mama kuniamishia majukumu ya huyo mzazi mwenzake hiyo ni never never never happen tu.
Embu ngoja kwanza.... Sasa hivi ukimtongoza mama mwenye mtoto. Utamtongoza kwa minajili ya kula mzigo au kwaajili ya kuja kuoa mbingu zikipenda??? .

Kama nikula , Lazima naww upigwe mizinga nahapa usikae ukalalamika, nahiyo mizinga itapigwa bila kumsisha mtoto.

Nakm nikuoa , basi sawa as long as amekupata wewe nakuhusu mwanawe anahudumiwa na Baba yake .!! So yote yapo ktk mizani.

Shida nipale, unapokua Hawara Mpitaji, alafu kujali mtoto hujali..yeye mwenyewe akikuomba pesa tatizo...yaan wee uwe mnataka Uchi wa Bure?? Uku akijua unapita kama wengine???

Aaaahhh aisee labda udate na Angelina Jolie !!
 
Vitu vingine piga hesabu hata wewe mwenyewe labda ungekuwa ndo huyo mtoto lazima ungempa thamani baba ako mzazi na sio huyo wa kufikia

Sent using Jamii Forums mobile app
UHUSIANO WA DAMU UNA NGUVU SANA HAKUNA KITU KINACHOWEZA KUUTENGANISHA KIRAHISI LABDA KIFO, WEWE BABA WA KAMBO KWANZA KUNA VITU UTAKUWA UNAJISHTUKIA KUMFANYIA HUYO MTOTO KWA KUHOFIA KWAMBA MAMA YAKE ATANIFIKIRIAJE KAMA VILE KUMUADHIBU IPASAVYO.
 
Kweli kuwa baba wa kambo ni changamoto sana,siku labda huyo mtoto amefeli shule au anasumbua ukimtia viboko mama ake atakuja kulalamika unamtesa mwanaye wakati hata baba ake angekuwepo angemtia viboko tena vya maana tu,alafu pia huyo mtoto wa kambo atakuja kuleta mgogoro mbeleni kwenye urithi tena ukizingatia anakuwa mkubwa kuliko watoto wako,kuoa single mother ni changamoto usije ukajaribu utakula mkenge utajuta
 
Embu ngoja kwanza.... Sasa hivi ukimtongoza mama mwenye mtoto. Utamtongoza kwa minajili ya kula mzigo au kwaajili ya kuja kuoa mbingu zikipenda??? .

Kama nikula , Lazima naww upigwe mizinga nahapa usikae ukalalamika, nahiyo mizinga itapigwa bila kumsisha mtoto.

Nakm nikuoa , basi sawa as long as amekupata wewe nakuhusu mwanawe anahudumiwa na Baba yake .!! So yote yapo ktk mizani.

Shida nipale, unapokua Hawara Mpitaji, alafu kujali mtoto hujali..yeye mwenyewe akikuomba pesa tatizo...yaan wee uwe mnataka Uchi wa Bure?? Uku akijua unapita kama wengine???

Aaaahhh aisee labda udate na Angelina Jolie !!
Kumtongoza mama mwenye mtoto minajili yake siwezi nikaisema moja kwa moja, sababu inategemea hata mimi niko kwenye kipindi gani.. yawezakana ni katika kipindi ambacho mimi ni mzee hivyo nahitaji mwenza wa kumalizia nae maisha hivyo sitaangalia kama ana mtoto au laa. pia vile vile labda nikiwa kama kijana sijafikiria kuwa na mwenza ambaye tayari ana mtoto halafu mimi sina kwenye mahusiano ya muda mrefu.

Mizinga anapige tu sawa kama kipo anapewa kama sehemu ya kusaidiana kimaisha na sio malipo ya kunipa papuchi.

Suala tunalopigia kelele hapa ni ile mtu unapewa LIST YA MAHITAJI KABISA KAMA INAVYOONEKANA KWENYE MFANO HAPA CHINI;

-Hela ya kunyoa mtoto(babershop)
-Hela ya viatu vya shule
-hela ya raba za kushindia
-hela ya kwendea swimming
-hela ya nguo za kushindia
-hela ya nguo za x-mass
-hela ya nguo za boxing day
-hela ya nguo za mwaka mpya
-hela ya karo ya muhula wa kwanza
-hela ya chips kila siku
-hela ya piza kila jumamosi
-hela ya dharura.

N a hapo bado yeye hajakupangia hela ya saloon, hela ya kodi ya nyumba,hela ya kutengeneza kucha, hela ya kumlipa mangi dukani etc.. halafu eti wewe hapo unacho ambulia kwake ni TUNDU tu ***** ambalo kuna mwana alipigamo FREE bila gharama hahahahahaha..... MTANISAMEHEE TU SINGLE MOTHERS MNAONISOMA HAPA LAKINI HUU UZWAZWA LAZIMA TUUKEMEE.

Single moms watu wazima hawanaga tabu yoyote tena wale wenye age ya 40+ hawana kabisa, kimbembe huwa ni hawa 25-32 wanajua kupigaa mabomu kuliko hata Kim jung na jeshi na lake
 
Kweli kuwa baba wa kambo ni changamoto sana,siku labda huyo mtoto amefeli shule au anasumbua ukimtia viboko mama ake atakuja kulalamika unamtesa mwanaye wakati hata baba ake angekuwepo angemtia viboko tena vya maana tu,alafu pia huyo mtoto wa kambo atakuja kuleta mgogoro mbeleni kwenye urithi tena ukizingatia anakuwa mkubwa kuliko watoto wako,kuoa single mother ni changamoto usije ukajaribu utakula mkenge utajuta
Halafu unakuta huyo mtoto hata siku akilitembelea libaba nyumbani kwake linakuwa likali kweli... akishika redio tu utaskia "we acha utaharibu, pumbavuu" na mama mtu hapo yupo kimyaa! ila sasa uje wewe mtie hata kibao cha matako halafu mtoto apige kelele kwanza hilo jicho utakalo angaliwa na mama mtu utatamani ujifiche mfuko wa nyuma.

kiukweli kuoa single mother kunaondoa confidence kabisa ile ya kibaba, mimi kama ni kuoa wanawake wa hivyo nitaoa uzeeni sio ujanani
 
Kumtongoza mama mwenye mtoto minajili yake siwezi nikaisema moja kwa moja, sababu inategemea hata mimi niko kwenye kipindi gani.. yawezakana ni katika kipindi ambacho mimi ni mzee hivyo nahitaji mwenza wa kumalizia nae maisha hivyo sitaangalia kama ana mtoto au laa. pia vile vile labda nikiwa kama kijana sijafikiria kuwa na mwenza ambaye tayari ana mtoto halafu mimi sina kwenye mahusiano ya muda mrefu.

Mizinga anapige tu sawa kama kipo anapewa kama sehemu ya kusaidiana kimaisha na sio malipo ya kunipa papuchi.

Suala tunalopigia kelele hapa ni ile mtu unapewa LIST YA MAHITAJI KABISA KAMA INAVYOONEKANA KWENYE MFANO HAPA CHINI;

-Hela ya kunyoa mtoto(babershop)
-Hela ya viatu vya shule
-hela ya raba za kushindia
-hela ya kwendea swimming
-hela ya nguo za kushindia
-hela ya nguo za x-mass
-hela ya nguo za boxing day
-hela ya nguo za mwaka mpya
-hela ya karo ya muhula wa kwanza
-hela ya chips kila siku
-hela ya piza kila jumamosi
-hela ya dharura.

N a hapo bado yeye hajakupangia hela ya saloon, hela ya kodi ya nyumba,hela ya kutengeneza kucha, hela ya kumlipa mangi dukani etc.. halafu eti wewe hapo unacho ambulia kwake ni TUNDU tu ***** ambalo kuna mwana alipigamo FREE bila gharama hahahahahaha..... MTANISAMEHEE TU SINGLE MOTHERS MNAONISOMA HAPA LAKINI HUU UZWAZWA LAZIMA TUUKEMEE.

Single moms watu wazima hawanaga tabu yoyote tena wale wenye age ya 40+ hawana kabisa, kimbembe huwa ni hawa 25-32 wanajua kupigaa mabomu kuliko hata Kim jung na jeshi na lake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unakuta huyo mtoto hata siku akilitembelea libaba nyumbani kwake linakuwa likali kweli... akishika redio tu utaskia "we acha utaharibu, pumbavuu" na mama mtu hapo yupo kimyaa! ila sasa uje wewe mtie hata kibao cha matako halafu mtoto apige kelele kwanza hilo jicho utakalo angaliwa na mama mtu utatamani ujifiche mfuko wa nyuma.

kiukweli kuoa single mother kunaondoa confidence kabisa ile ya kibaba, mimi kama ni kuoa wanawake wa hivyo nitaoa uzeeni sio ujanani
Leo umewapa makavu tena kwa mifano hai hakuna hata mmoja anayekuja kutetea hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom