Sijawahi kushawishi mwanamke yeyote atoe mimba let alone to abandon the child that already biologically belongs to her. Kutupa mtoto kisa tu baba yake kakimbia ni sawa na kukataa mguu baada ya kukanyaga mavi, hivyo naomba unitoe kwenye kundi la wanaume wenye fikra za namna hii.
Kumpenda mwanamke ambaye tayari alikwisha zaa(single mom) sio lazima nimpende na mtoto wake na wala hiyo sio sheria, mimi nimemu approach huyo mwanamke baada ya kumuona na kuvutiwa na yeye na sikuvutiwa na yeye pamoja na mtoto wake hivyo kama kuna nitakachokifanya basi itakuwa ni kwa ajili yake na sio kwa ajili ya yeye pamoja na mtoto wake sababu i have no business with her so called daughter/son.
Yeye kunivulia chupi sio sababu kuu ya kunibebesha majukumu yasio nihusu, kwanini kwanza nimlipe? sababu hicho unachosema ni sawa na kumlipa baada ya kuwa amenifurahisha.
Achana na hizo habari sijui za mtoto wa mwenzio ni wako, dude dunia ya sasa hivi haiko hivyo hao watoto utakaojipendekeza kuwalipia ada leo huko mbeleni hakuna mtu mwingine watakae mkumbuka zaidi ya mama yao naongea hivi mifano nimeiona.. hivyo nilivyokwishasema mimi nata deal na huyo single mother tu hao watoto wake wakija kuwa mapadri,mawaziri,mabalozi,madaktari,maraisi etc itakuwa ni juu yao na mama yao their future is none of my damn business.
Wanawake wanaojielewa hawawezi kumbebesha hawara majukumu yasio muhusu sababu itaonesha wanagawa mwili hili mwanae apate mahitaji. Mimi kama kutoa hizo huduma kwa mtoto basi itakuwa labda ni kwa kujiskia tu na sio kama sehemu ya majukumu yangu NEVER!! kuna mtu humu aliwahi keleta uzi baada ya kupigwa mzinga wa ada ya shule na single mother ambayo ni shilingi milion sita za kitanzania nilishangaa sana inakuwaje mpaka mwanamke anakuona zoba kiasi hiki.
"Wanawake wanaojielewa hawawezi mbebesha majukumu Hawara" nmeyanukuu maneno haya kama sehem ya kukujaji .
Unazungumzia nn kusema Hawara?? Inamaana Umemtongoza ukijua kua Unataka kupiga tu nakuamsha ??? .. Kwa uelewa wako unahisi Wao huwa hawajui kua wewe umeenda kama hawara na nini wanacho takiwankufanya??? Ukienda kama Hawara mpitaji ,lazima Ukubaliane nahali utakayokutana nayo yaan "Utoaji wa Pesa kubwa kubwa" kwasababu anajua kupitia hiyo hiyo pesa, MWANAWE ALOKIMBIWA NA BABA YAKE ,ANATAKIWA ALE, AVAE NA ASOME KUPITIA IYO PESA !! They Know !!! .... Sasa unataka kwakua umeenda kama Hawara mpitaji Basi ndo uishie kula Utamu wake ,KWA KISINGIZIO CHA "NMEKUPENDA WEWE TU"" ........
, alafu unipate hapa, NI UNAFIKI WA HALI YA JUU SANA KUSEMA UNAMAPENZI NA MWANAMKE ILIMRADI UNACHUKIZWA NAMWANAWE AU UNASHINDWA KUCHUKUA NAFASI YA UBABA KWA MTOTO WAKE ,NAHUKU UKIJUA KUA DAMU YA MTOTO WAKE NDIO DAMU YA MWANAMKE UYO UYO UNAYESEMA UNAMPENDA...... NINI MAANA YA KUPENDA HPO??? .
IVI UNAJUA KWA MWANAMKE ,MTOTO WAKE NIKM KILIVYO KIUNGO CHAKE??? UNAJUA MWANAMKE MTOTO WAKE NIKM FIGO /MOYO WAKE ?????? .
SASA KWANN USHINDWE KUJIONGEZA TU NAKUJUA HIZI DAMU MOJA LAZIMA NIZIISHI SAWASAWA???
UNADHAN HATA KAMA UMEENDA KM HAWARA MPITAJI, HUYU MAMA MWANAWE AKIUMWA , UTAKIPATA UNACHOTAKA ?????
KWANN UMUISHI MTOTO WAKE KWAHSIA MBOVU TENA NEGATIVE ETI " HATOKAA ANISAIDE " NANI ANAJUA BAADAE ZETU???? WANGAPI WAMEKUJA KUSAIDIWA NA WATOTO WAO WAKAMBO??? WANGAPI??? AU UNATAKA NIKUPE NAMIFANO YA WATU WAKUBWA WALIOKO SERIKALIN NAVYOMBO VYA DOLA AMBAO NI MATOKEO YA UTOTO WA KAMBO NASAIZI BABA ZAO HAO WAKAMBO WANAISHI MAISHA MAKUBWA YASOKUA NAMFANO???? .
HUWEZ KAAA UISHI NA MAWAZO HASI YANAMNA HIYO JUU YA KIUMBE AMBAYE BADO HAJUI HATIMA YAKE.
WALIPOSEMA SAMAKI MKUNJE INGALI MBICHI WALIKUA NAMAAANA GAN?? MTOTO UTAAVYOMLEA NDIVO ATAKAVYOKUA ,HAIJALISHI NI MTOTO WAKAMBO AU NIWAKO HAIJALISHI ILO , HUYU MTOTO WA KAMBO UNAWEZA KUMUISHI NAMAISHA YAKE YOTE WEWE NDO UKAWA BABA YAKE.
NAKUPA MFANO.. MOJA WA WAJOMBA ZANGU ALIMKATAAGA MWANAMKE NA MTOTO, HUYO MAMA AKAOLEWA. ALIYEMUOA KASOMESHA SANAA MPAKA JAMAA SAIZ NI PhD holder , mambo si mambo Magufuli kampa boooooonge la kitengo, Jamaa Kamshushia Uyo BABA WAKAMBO BOOOOOONGE LA MJUMBA ,KWAUFUPI KABADILISHA MAISHA MAKUBWA YA BABA WAKAMBO NA MAMA YAKE.
Niseme ivi,,, KAMA UMEMTONGOZA MWANAMKE MWENYR MTOTO KWA LENGO LA KUOA NILAZIMA UMPENDE MWANAYE TENA UMPENDE SANAAAA !!
kama umemtongoza ukiwa kama HAWARA MPITAJI ,NILAZIMA UKUBALIANE NA HALI YAKE NA NILAZIMA USITUMIE SABABU YA KUMPA HUDUMA KUMUACHANISHA NA MWANAWE.
YAAAN NIIVI, UWE UMEMTONGOZA KWA LENGO LA KUPITA, AU KWA LENGO LA KUA NAYE KIMAISHA,, HATA KAMA HATOKUOMBA UMUHUDUMIE NILAZIMA UJIONGEZE KUA , MTOTO ANAHITAJI MALEZI YA BABA ILI AZIDI KUA MTOTO WAKIUME ATAKAYEKUJA KUA MWANAUME KAMA WEWE.
MIMI NASEMA IVI, NI UNAFIKI WA HALI YAJUU KUMNUNULIA HUYI MWANAMKE NGUO YA SIKUKUU , HUKU UKIACHA MWANAWE BILA KUMNUNULIA NGUO YA SIKUKU !!! hiyo sio akili bali ni tope.... Nimara mia Mwanawe Umnunulie alafu yeye Usimnunulie.
( Nyinyi ndo baadae mnakujaga humu kuanzisha minyuzi isokua namaana eti " Masingo maza punguzeni Mizinga" ) ...una akili kweli????? Ushindwe kumjali mwanawe waziwazi utegemee usimjali bila wewe kujijua kama unamjali?????.
NINGEKUA NA NGUVU YA AJABU. NINGEWAFANYA WANAUME WOTEEE MNAOWAFATA HAWA WAMAMA KWA LENGO LA KUPIGA TU, MUWE MAZEZETA KIASINKWAMBA KILA PESA ATAKAYOKUOMBA UYU MWANAMKE UITOE HARAKA na IENDE KUMLEA MWANAYE !!.