Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

We umri unakusumbua..mwali mbona anatandikwa tu vizuri..na utampata wapi siku hizi wanaliwa tangu msingi
 
Katendwaaaaaa mpaka huruma yaani
Tumpe poleeeee
 
Wewe ni wewe Na mwingine sio wewe..usilazimishe.Usichopenda wewe watu wooooote wasipende.
Poleeeeee
Nimesema mimi binafsi,sijawasemea watu wengine,angalia pia tu comments za wanaume humu wangapi wanakubali kuoa single mothers then nipe jibu
 
Nimesema mimi binafsi,sijawasemea watu wengine,angalia pia tu comments za wanaume humu wangapi wanakubali kuoa single mothers then nipe jibu
Mbona Sasa single maza mtaani wanaolewa Na wasio single maza wanaolewa.Na wapo wasio single hawajaolewa Na pia walio single maza
Maisha hayapo hivyoo.
Ndo nyie mnakuwa mmekariri masingle wakiolewa mkipewa kadi ya mwaliko kwa aibu mnakimbia kwa Roho kuuma
Let life Be
Kama hupendi ni wewe Na kaa nalo kimya utaonyesha kwa vitenda..
Kwa hiyo mpaka umehesabu wanaokataaa
Kwani Uzi huu una page ngapi??
Kazi unayo
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!; ngoma inogile
Your fellow is pointless. Hana cha kujibu anatukana. Wanaume wanafiki sana. Mtu anatetea single moms.....halafu yeye binafsi hayuko tayari kuowa hata 1 wao.
 
Your fellow is pointless. Hana cha kujibu anatukana. Wanaume wanafiki sana. Mtu anatetea single moms.....halafu yeye binafsi hayuko tayari kuowa hata 1 wao.
Ebu Rafiki angu naomba sasa tuende sawa.Imekukuta nini unawachukia masingle mother?? Je wao waolewe Na nani??
Kwanza wewe Dini gani mwenye chuki hivyo??
Je huamini kwamba binadamu huweza kuchange?
Why unaadhibu Na kushawishi wengine??
We unapata faida gani??
Nijibu huenda una point zaidi
 
Wewe utakuwa mwanamke. Si bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…