Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Unajua nimeona tumeongelea ma single mother tu. Lakini katika jamii kuna " ma single father" ko inamaana nao mwanamke rijali asikubali kuolewa na single father??????..…...............................................................................Ndoa nimakubaliano kati ya mume na mke haijarishi mapunguvu mmoja aliyonayo kama wamependana na wapo tayar kuwa pamoja WHAT ELSE MATTERS!!!!!!!!!!!...........................................
 
Ila tatizo liko kwa wanawake, mwanamke anayejitambua hawezi kubebeshwa mimba kabla ya ndoa, wanambinu nyingi sana za kuzuia mimba, akibeba mimba kwa bahati mbaya huzitoa hata bila ya kumshirikisha mwanaume, ukiona binti kazalishwa ujue aling'ang'ania mimba kwa kigezo cha kuolewa na huyo jamaa, kwa hiyo hata huo msoto ni matokeo ya ujinga wake.

Kwa hili mwanaume asilaumiwe hata kidogo.
Whaaaaaaat
 
Amin amin nakwambia huyo single mama kamwe hawezi msahau yule wakwanza kuzaa nae hata wakikutana wanarudiana kinachowaunganisha ni yule mtoto
 
Habari zenu.

Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.

Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.

Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.

Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.

Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.

"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea

Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.

Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.

Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.

Meraki
Kwani haipiti
 
Toka zako hapa. Nimekulia nyumbani kww baba na mama. Kulelewa na baba wa kambo sio hoja. Hoja ni kuwa mama yako aliolewa na baba yako kabla wewe hujazaliwa?
Duh! Kiongozi wewe bado sana. Wewe unatakiwa kufanyiwa maombi
 
Usiwabanie ma Single father, wao pia utamani ma Single Mother
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya urijali na kuoa single mother, ila ukifikiria kwa makini na kiundani zaidi kuoa single mother (Msimbe) ni changamoto kubwa sana, ila kama mtoto hamjui baba yake wala hajawahi kumwona na wala hakuna connection yyte kati yao unaweza kumwoa.
Kwaiyo mkuu kama mtoto anamjua baba yake,inakuwaje?...na kwamfano yeye mtoto alizaliwa baada ya mama(msichana wa makamo kama 20years) yake kudanganywa na baba yake(mtumzima kama 48years)...alimdanganya kwa pombe na akanywa then akamtoa bikra na kumpa mimba..kisha akamtishia asitoe mimba na mtoto akazaliwa na akawa anamuhudumia na baadae yule mama akaachana na mwanaume na kutafuta wa rika lake,je! Bado kumuo huyo single maza nichangamoto kubwaa????
 
Hivi mwanao akibakwa then akapimwa akagundulika kapata ujauzito utamruhusu alee ujauzito wa mbakaji?
 
Daaah! Hapo ni pagumu kwakuwa baba hatajulikana! ila kwajinsi nilivyo eleza hapi juu...ni kwakesi mtu alipanga sehemu sasa baba mwenye nyumba ndo kamlagai kiivyo then akanfisi asitoe mimba yeye atakea na kweli baba wa mtoto anakaa na mwanae na anamlea mwenyewe.......sasa hapo kuna changamoto kwa huyo mwanamke kuolewa tena(kumbuka huyo alimpa mimba ni mtu mzima na ana ndoa yake na ana watoto)

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Amin amin nakwambia huyo single mama kamwe hawezi msahau yule wakwanza kuzaa nae hata wakikutana wanarudiana kinachowaunganisha ni yule mtoto
Amin amin nakwambia hahaa,inaonekana una uzoefu na single mothers
 
Back
Top Bottom