sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,156
Diva anaisoma hii thread sahii saa 4:56 usiku, hua anacopy vijistories humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan wanawake wote ukaoe jitu limezalishwa watoto?hii laana inipishie mbali.Habari zenu.
Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.
Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.
Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.
Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.
Meraki
Ni kweli kabisa kuna binti ana boy wake huyoo wao ni kulana kwa kwenda mbele halafu wewe uje uoe ni uchizi kwa kweli.Kuoa tu ex wa mtu waliokuwa wanapendana ni kesi je kuoa kabisa walie zaa mtoto huon hyo kesi inamhitaj jaji mkuu
Bora waliotoa mimba kwasababu anaweza usikwambie kuliko kujua kabisa mke wangu amezaa na mtu flani,tena na mtoto wake unamuona huyu hapa,aisee kuoa single mother ni kipajiKati ya Single mothers na habitual abortionists,wapi bora?
Halafu wao wanachukuliaga kama kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kitu kirahisi tuYaan wanawake wote ukaoe jitu limezalishwa watoto?hii laana inipishie mbali.
Na hii ndo point huwa hawajali sanaKutetea single mothers ni kutetea uzinzi
Wenyewr wanachukukiaga kuoa single mother ni kitu rahisi tuNa hii ndo point huwa hawajali sana
Upuuzi mtupuWasichana wa JF kila siku wanapewa ujumbe...[emoji23][emoji23]
You know what...,I don't think any mother aims to be a single mom. I didn't wish for that, but it happened.It was tough being a single mom. It was tough being in a divorce with children. Very, very hard but She never gives up. She believes in her family, even when things are tough. She knows that above all things... a mother's love is more than enough.Single moms: You are a doctor, a teacher, a nurse, a maid, a cook, a referee, a heroine, a provider, a defender, a protector, a true Superwoman. Wear your cape proudly bcz father failed to do that but mom do.Things that single mother mistaken is choosing a wrong husband.What is right/good to say is that mothers - especially single mothers - are heroic in their efforts to raise our nation's children, but men must also take responsibility for their children and recognize the impact they have on their families' well-being.That is not the only condition to be a man. He who runs away from a pregnant girl, to whom he's responsible is not a man, too. Any question so far?
Naomba nijitolee kumpa maji kwanza. Akishavuta pumzi ndipo atuhadithie yaliyomsibu 😂😂😂😂Mbona kama ume panic hivi??
Hebu tulia kwanza twende taratibu.... Ni nini kimekusibu?
Mange kimambi ni mke wa mtu acha ujinga.Naomba ushaur nioe Mangi Kimambi au Faiza Ally
But, huwezi kujua sababu iliyompelekea huyo mwanamke had kupata mtotoHabari zenu.
Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.
Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.
Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.
Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.
Meraki
Ni kweli! Cha muhmu ni kupendanaNdo hivyo sasa, swala ni kupata mke mtakayependana na kuendana kuoa mwali si kigezo kwamba ndoa yako itakuwa sustainable. Kuna complications nyingi kwenye hizi mambo, punguza kukurupuka na kuanza kutoa kufuru
Mara nyingi ukiwa u akipinga kitu ndicho kinakutokea na unakipenda haswaaUnaongea tu, hujakutana na mtoto mkali kama mzigua 90