Sijazungumzia issue ya kuchepuka hapa. Kuchepuka hata bint aliyeolewa bikra anachepuka.
Poleeee
Kwanza umepanic
Umeandika kwa hasira
Hao single Mazaa Mimba hujipa wenyewe?!
Na sikulaumu sana.Huenda uliandika umelewa kama ulivyosema hapo juu
Eti ' mwanaume rijali hawezi Oa Single Maza mara usema Sijakataza Oa tu ...which is which
Sio lazima uanzishe mada ndugu yangu
Halafu watu wa hivi unaweza kuta mama yako alikuficha tu ...Baba uliyedhani wako sio Bali alizaa hukooo.
Halafu bila Haya unakuja hapa kusema Single mother ( Hao single mother sio watu??
Mwingine kawa single mother kwa kufiwa
Mwingine alisalitiwa lakini tayari ana ujauzito badala ya kuitoa Mimba( kama ambavyo wewe Mama yako hakuitoa mimba yako) akazaa kwani hukuwa na kosa
Mwingine alishaolewa ndoa ikawa na misukosuko but tayari ana mtoto akabaki single mother.
Mwingine katikati ya uchumba akazaa mwanaume akamgeuka ghafra akaoa mwingine huku ana Mimba ( kwa busara hajatoa akazaa( kitu ambacho ni kizuri kuzaa sio kutoa) kuzaa ni bora sana kuliko kutoa .
After all watu huoana baada ya kupendana kwa dhati hayo ya Usingle maza kwa mwenye akili wala hayamsumbui mana Anaweza akampa Mimba hata yeye Bht mbaya akafa so mpenzi wake asipate MTU kisa Single mazaa!!.( Mtoto anashida gani??.
Na nijuavyoo Sijui usingle maza au usingle Faza hutokea kwa bahati mbaya tu..
Binadamu wote hupenda kuwa na Stable family. .
MTU anaweza pata bahati mbaya kama hivyo ya usingle maza na baadaye akayajenga
Mifano IPO mingi .
Mfano Zamaradi Mketema alikuwa single( maana 2 children bila ndoa)
Mungu akamjalia na kuolewa na good hubby..
Wengine akina Rest_ fish.... Once Single mother sasa wako poa kwenye ndoa.
Tena Mwanaume anayejielewa Mwanamke mwenye mtoto tayari ni assurance ya Kizazi.
We nenda kahangaike na Mama Wa marehemu watano... Halafu ujidai naoa asiye mtoto.