Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

kuna mwingne nilisoma naye anaitwa danger sanga nikamuuliza kisa cha hilo jina akasema kuna lori la mafuta liliharibika kijijini kwao lilikuwa limeandikwa DANGER kwenye tanki wazazi alipozaliwa wakampa hilo jina akasema kwao kukuta mtoto anaitwa trekta au fuso ni kawaida kutegemea mzazi kipi alikipenda kama greda akiliona akafurahi linavyofanya kazi mtoto akizaliwa kumwita greda sio ajabu
Duuh...! I seee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UTANI WA WATANI [emoji16][emoji23][emoji23]

Nasikia kwa Tanzania Wakinga ndo wanaongoza kuwa na majina ya kizungu kama vile:-
- Foton Kyando
- Garage Tweve
- Heaven Msigwa
- Japanese Chando
- Bed-ford Luvanda
- Scania Sanga
- Ambulance Mbilinyi
- Poplin Mbilinyi
- Vodacom Mahenge
- O'clock Kyando
- Handel Nyaluke
- Stupid Denglisi Sanga
- Rogic Mbilinyi
- Tompion Mahenge
- Spiring Cobis Nyaluke
- Cubic Ngailo
- South Lwila
- Ring Span-er Mahenge
- Arabia Sanga
- Vodka Mbilinyi
- Wholesale Luvanda
- Tomorrow Mahenge
- Yesterday Kyando
- Classmate Ndelwa
- Vox Wagen Mbilinyi
- Datsun Tweijisage
- Main Road Amagite
- Dog Luvanda
- Foolish Mbilinyi
- Church Pila
- Safeli Handbrake Fungo
- Jupiter Gearbox Fungo
- Cross Joint Nyaluke
- Balimi Ndeti
- Highschool Sigalla
- Anopheles Mahenge
- Facebook Kyando
- Network Chaula
- Password Mbilinyi
- Mtandao Swalo
- Spanner Mahenge
- Isuzu Bighorn Chaula
n.k
Wakinga mpo juu
Hapo ni kweli kabisa,nawafahamu wakinga hawa,Heaven,Juptet,na Japanese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
premier television kyando huyu nilikutana nae kwenye bus mbeya to arusha
 
Khaaa nyie kiboko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom