sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yani unaambiwa huko Guang zhou wakinga wamejazana si mchezo aisee,
wapo ambao ndugu zao wana maduka kariakoo, huwa wanapelekwa huko ili kusaka machimbo ya bidhaa na kuzisafirisha.
wapo ambao familia zao hazina biashara ama zinataka kupanuka, kinachofanyika wanamchangia hela ya vibali na nauli mtu wao aende huko, atapokelewa na wakinga wengine, watamfundisha kutafuta bidhaa na kuzisafirisha, aafa ya hapo wale ambo wapo huku bongo wanaenda kununua frem kariakoo, wanaenda kupokea mzigo wao bandarini.
Hii fursa imepelekea mpaka kuwe na kampuni yao ya kusafirisha mizigo inayoitwa Mapembelo cargo, hilo neno mapemelo ni salamu ya kikinga