katika utamaduni wa Kiyahudi unaoonekana katika Biblia, siku ilihesabiwa kuanza jioni (baada ya jua kutua) na kuendelea hadi jioni inayofuata.
Msingi wake unatokana na simulizi la uumbaji:
"Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza."
— Mwanzo 1:5
Kauli hiyo ("jioni ... asubuhi") inajirudia katika siku za uumbaji, na imeeleweka kuwa siku huanza jioni.
Pia kuhusu Siku ya Upatanisho, Mungu aliwaambia Waisraeli:
"... tangu jioni hata jioni mtashika sabato yenu."
— Mambo ya Walawi 23:32
Uislam
Nao ndio hivyo hivyo
Ukiristo wa sasa ni tofauti
::::::;
Kwa muhtasari:
Agano la Kale (Uyahudi): Siku huanza jioni (jua linapozama). Sabato huanza jioni ya Ijumaa na kuisha jioni ya Jumamosi.
Uislamu: Siku ya Hijria pia huanza Magharibi (jua linapozama). Ndiyo maana usiku wa Ijumaa huanza Magharibi ya Alhamisi.
Ukristo: Makanisa mengi leo hutumia mfumo wa kiraia ambapo siku huanza usiku wa manane, ingawa baadhi hutambua asili ya Kibiblia ya kuhesabu siku kuanzia jioni.
Wazungu washenzi sana na mifumo Yao mibovu kama ELIMU, AFYA, DINI kuhusu muda pia walichakachua mfano mwaka mpya sio mwezi wa kwanza ni mwezi wa tatu.katika utamaduni wa Kiyahudi unaoonekana katika Biblia, siku ilihesabiwa kuanza jioni (baada ya jua kutua) na kuendelea hadi jioni inayofuata.
Msingi wake unatokana na simulizi la uumbaji:
"Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza."
— Mwanzo 1:5
Kauli hiyo ("jioni ... asubuhi") inajirudia katika siku za uumbaji, na imeeleweka kuwa siku huanza jioni.
Pia kuhusu Siku ya Upatanisho, Mungu aliwaambia Waisraeli:
"... tangu jioni hata jioni mtashika sabato yenu."
— Mambo ya Walawi 23:32
Uislam
Nao ndio hivyo hivyo
Ukiristo wa sasa ni tofauti
::::::;
Kwa muhtasari:
Agano la Kale (Uyahudi): Siku huanza jioni (jua linapozama). Sabato huanza jioni ya Ijumaa na kuisha jioni ya Jumamosi.
Uislamu: Siku ya Hijria pia huanza Magharibi (jua linapozama). Ndiyo maana usiku wa Ijumaa huanza Magharibi ya Alhamisi.
Ukristo: Makanisa mengi leo hutumia mfumo wa kiraia ambapo siku huanza usiku wa manane, ingawa baadhi hutambua asili ya Kibiblia ya kuhesabu siku kuanzia jioni.
Tatizo unafikiri kilichopo duniani ni dini za Abrahamic tu za mashariki ya kati ndio maana unaongelea mifumo kuchakachuliwa bila kufahamu kwanza hata huo mfumo wenyewe unaoutumia sasa na dini uliyopo visingekufikia bila Roman Empire, bila wao labda sasa hivi Uyahudi na Ukristo zingekuwa dini za watu milioni 20 mashariki ya kati leo bila ufalme wa Rumi kui adopt kama state religion. Na pia labda hata huo Uislamu usingekuwepo.Wazungu washenzi sana na mifumo Yao mibovu kama ELIMU, AFYA, DINI kuhusu muda pia walichakachua mfano mwaka mpya sio mwezi wa kwanza ni mwezi wa tatu.
Hayo ni matokeo ya kibinadamu Kwa kweli,Naona Wasabato wanafanya Hivyo, ngoja aje Harieth mtibeli atoe ufafanuzi!katika utamaduni wa Kiyahudi unaoonekana katika Biblia, siku ilihesabiwa kuanza jioni (baada ya jua kutua) na kuendelea hadi jioni inayofuata.
Msingi wake unatokana na simulizi la uumbaji:
"Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza."
— Mwanzo 1:5
Kauli hiyo ("jioni ... asubuhi") inajirudia katika siku za uumbaji, na imeeleweka kuwa siku huanza jioni.
Pia kuhusu Siku ya Upatanisho, Mungu aliwaambia Waisraeli:
"... tangu jioni hata jioni mtashika sabato yenu."
— Mambo ya Walawi 23:32
Uislam
Nao ndio hivyo hivyo
Ukiristo wa sasa ni tofauti
::::::;
Kwa muhtasari:
Agano la Kale (Uyahudi): Siku huanza jioni (jua linapozama). Sabato huanza jioni ya Ijumaa na kuisha jioni ya Jumamosi.
Uislamu: Siku ya Hijria pia huanza Magharibi (jua linapozama). Ndiyo maana usiku wa Ijumaa huanza Magharibi ya Alhamisi.
Ukristo: Makanisa mengi leo hutumia mfumo wa kiraia ambapo siku huanza usiku wa manane, ingawa baadhi hutambua asili ya Kibiblia ya kuhesabu siku kuanzia jioni.
Ulipotelea wapi Umughaka????Mnachoshindwa kuelewa kitabu cha Biblia Agano la kale haliwazungumzii wayahudi,Wayahudi ni Uzao wa Yuda mwana Israel (Yakobo) ambao umekuja baadae kabisa!
Nipo mkuu tunahangaika naya UlimwenguUlipotelea wapi Umughaka????
mbona sabato inaanza saa 12 jioni siku ya ijumaa na kuisha saa 12 jioni siku ya j mos?,, hiyo mantiki ya kuanza asubuhi na kuisha jioni ipo wapi hapSisi waadventista siku huanza asbuhi na huisha jioni.
Marejeo kitabu cha Mwanzo.
Somo la uumbaji.
nielezee kwa ufupi maana ya "ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza" how come tena muhesababu siku jioni kwa jioni? kama ulivyosema jua lizamapo ndio mwisho na ndio mwanzo wa siku inayo fuataMnachoshindwa kuelewa kitabu cha Biblia Agano la kale haliwazungumzii wayahudi,Wayahudi ni Uzao wa Yuda mwana Israel (Yakobo) ambao umekuja baadae kabisa!
Lakini pia uelewe Si wakristo wote ambao wanaamini siku huisha na kuanza saa 6 Usiku
Sisi Waadventista wa Sabato (Wasabato) tuaamini kila Biblia inachosema,Hivyo siku uisha Jua linapozama na jua lipozama ndiyo mwanzo wa siku mpya!,Biblia iko wazi kabisa wala hakuna kificho katika hilo
Hao waanzilishi wa siku kuisha usiku saa 6 Bila shaka wanafahamika!
Hawa jamaa akili hawana,muslims wa tanzagiza sijui ni nani aliwaambia na kuwafundisha adui yao ni Christianity, karibia wote wako soo obsessed na Chrisianity, kuna mzee mmoja muslim kitaa ana Biblia anaisoma siku nzma anajua vifungu vyote, huwa najiuliza why? wewe ni muslim Biblia ya nini na ili iweje? i mean sijawahi kukutana na Christian kanunua msaafu akisoma kutwa nzima.
muslim wa tanzagiza ni kama yanga vs simba ...
Tatizo ya mbuzi kama mtoa mada unakuta kinachomsumbua ni kuhusu ukristo angali yeye muslamWewe fuata what makes you happy. Hata airport nenda muda unaotafsiri wewe. Wakisema njoo kesho 9pm tafsiri unavyojua wewe kisha nenda. Kupanga ni kuchagua.
Kuna watu leo ni mwaka wa elfu1 na kitu; kuna wengine wapo mbele. Yote ni sawa.