Wakiristo huu muda wa siku kuanza saa 6 usiku wameutoa wapi?

nielezee kwa ufupi maana ya "ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza" how come tena muhesababu siku jioni kwa jioni? kama ulivyosema jua lizamapo ndio mwisho na ndio mwanzo wa siku inayo fuata
Huyo kapitiwa naona.
 
nielezee kwa ufupi maana ya "ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza" how come tena muhesababu siku jioni kwa jioni? kama ulivyosema jua lizamapo ndio mwisho na ndio mwanzo wa siku inayo fuata
Siyo mimi niliyesema bali ni Biblia (Neno la Mungu) ndivyo lisemavyo!

Sasa kama unashindwa kuiamini Biblia (Maneno ya Mungu mwenyewe) unadhani mimi nitakuelezea nini ili uelewe?

Hakuna mahali popote kwenye Biblia imenikuliwa ya kwamba siku inaanza saa na kuisha saa 6 Usiku,HAKUNA!

Bali siku kwa mujibu wa Neno la Mungu uanza pale ambapo Jua huzama na huisha pale ambapo jua huzama!
 
mbona sabato inaanza saa 12 jioni siku ya ijumaa na kuisha saa 12 jioni siku ya j mos?,, hiyo mantiki ya kuanza asubuhi na kuisha jioni ipo wapi hap
Uumbaji haukufanyika usiku na kabla ya kuumbwa kwa nuru kulikuwa giza hivyo giza lilitangulia ikaja nuru.
Ikawa asubuhi-Giza lilikuwa nyuma
Ikawa jioni- Giza la siku ya kesho linaingia.
Kibiblia Nuru hutambuliwa kama siku na kwamba uumbaji woote ulifanyika wakati wa nuru.
 
Siyo mimi niliyesema bali ni Biblia (Neno la Mungu) ndivyo lisemavyo!

Sasa kama unashindwa kuiamini Biblia (Maneno ya Mungu mwenyewe) unadhani mimi nitakuelezea nini ili uelewe?

Hakuna mahali popote kwenye Biblia imenikuliwa ya kwamba siku inaanza saa na kuisha saa 6 Usiku,HAKUNA!

Bali siku kwa mujibu wa Neno la Mungu uanza pale ambapo Jua huzama na huisha pale ambapo jua huzama!
umenielewa nilicho kuuliza?
 
Uumbaji haukufanyika usiku na kabla ya kuumbwa kwa nuru kulikuwa giza hivyo giza lilitangulia ikaja nuru.
Ikawa asubuhi-Giza lilikuwa nyuma
Ikawa jioni- Giza la siku ya kesho linaingia.
Kibiblia Nuru hutambuliwa kama siku na kwamba uumbaji woote ulifanyika wakati wa nuru.
kumbe
 
Wazungu washenzi sana na mifumo Yao mibovu kama ELIMU, AFYA, DINI kuhusu muda pia walichakachua mfano mwaka mpya sio mwezi wa kwanza ni mwezi wa tatu.
Anzisha wa kwako kwanini usiwe km Martin Luther alipoona haelewi aliona atoke nje aanzishe cha kwake atengeneze na wafuasi wake kwa hio na wewe unapoona jamaa huwaelewi kua km Adam Weishaupt mwanzilishi wa Illuminati halafu uone watakachokufanya
 
Nianzishe Cha kwangu nini?
 
Fanya Mambo ya Msingi haya hayatakusaidia Kijana.

Jitahidi pia kumjua Yesu Kristo
 
Back
Top Bottom