Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Wakisema ambao hawajashika milioni 10 toka mwaka uanze wauliwe vp utapona , mimi siri yangu sisemi ila ukweli naujua mwenyewe vp wewe , watafutaji wote Mungu atufungulie milango ya riziki
Hiko kiwango nimekitaja kama mfano najua kuna watu wameingiza pesa zaidi
Hiko kiwango nimekitaja kama mfano najua kuna watu wameingiza pesa zaidi