Nipo nipo gavo ilitubanaKabisa yaani Mtani. 😄
Kitambo sana aisee. Upo weye?
me too😂😂😂
mi sina labda wew😂 na ukipata usinisahauAsitutishe, bado kuna deals tunasikilizia.
Sasa wewe kila siku ma promota wanakupa show kinshasa , mapato yako tunayajua werrasonHata mimi sisemi😁
Hapo lazma tufikiri nje ya Box maana kutoboa kwa kipato hiko ni ngumuUchumi wetu ni wa chini mno, sasa mfano mtu unalipwa laki tatu kwa mwaka ni milioni 3 mpaka kufika milioni kumi ni karibu miaka mitano, hali wengine ni mshahara wa mwezi mmoja.
Kumbe waliomo humu wanacheza na dolaHumu wote matajiri mkuu na wengi wako ughaibuni. Ukitumia takwimu za JF unaweza kuhitimisha uongo😅😅😅😅
😃😃😃Mkifikankipengele cha msamaha kwa walioshika elf 7 mniite😂😂😂
Wafanyakazi wengi kwa mwaka wanakunja hiyo na zaidi.Hata kidogo kidogo fresh ila iwe faida isiwe tu hesabu ya biashara
Yeah ni kweli hio pesa kwa wafanyakazi ni ya kawaida ila kwa hustlers ni ngumu kuipataWafanyakazi wengi kwa mwaka wanakunja hiyo na zaidi.
Hata wafanyabiashara serious wanapata.
Milioni 50 huko huo ni mziki mwingine.
Huko mtaani watu wanapata pesa nyingi mkuu ila matumizi ndio huyofautisha watu.Yeah ni kweli hio pesa kwa wafanyakazi ni ya kawaida ila kwa hustlers ni ngumu kuipata
Bank teller anashika billions.Kushika au kumiliki?
Mana kama kushika wengine washashika mpk 5B tangu mwaka uanze ila kumiliki hio 10M ndio kipengele