Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Nenda kwa mwamposa πππTangu kuzaliwa, R.I.P itanihusu π
Hata kidogo kidogo fresh ila iwe faida isiwe tu hesabu ya biasharaKwa mkupuo au kidogo kidogo.
siku hazifani braza , halafu kwa mtafutaji anayetafuta kwa njia za halali lazma atakutana na ups and downsKidogo kidogo nimeshika lakini kwa mkupuo hatari maana hata sasa hivi zina hata shilingi kumi mbovu
Intelligent business man unatupanga hautaki tujue code zako nnElfu 10 ya pamoja ni mziki mnene
AminaOne day yes.
#Nisingeponaaisee.
Sasa mleta mada mwenyewe husemi. Unataka watu waseme ili iweje? Unafanya utafiti au...Wakisema ambao hawajashika milioni 10 toka mwaka uanze wauliwe vp utapona , mimi siri yangu sisemi ila ukweli naujua mwenyewe vp wewe , watafutaji wote Mungu atufungulie milango ya riziki
Hiko kiwango nimekitaja kama mfano najua kuna watu wameingiza pesa zaidi
Hhhh nataka kujua kama kweli Tanzania ipo uchumi wa kati kupitia takwimu za JFSasa mleta mada mwenyewe husemi. Unataka watu waseme ili iweje? Unafanya utafiti au...
Na mimi ni siri yangu, sisemi. Amina!
Kidogo kidogo umefikisha billion Mzee πππKwa mkupuo au kidogo kidogo.
Na club yako pendwa ikikulipa zinatosheaOne day yes.
#Nisingeponaaisee.
Humu wote matajiri mkuu na wengi wako ughaibuni. Ukitumia takwimu za JF unaweza kuhitimisha uongoπ π π πHhhh nataka kujua kama kweli Tanzania ipo uchumi wa kati kupitia takwimu za JF
Kabisa yaani Mtani. πNa club yako pendwa ikikulipa zinatoshea
me tooπππTangu kuzaliwa, R.I.P itanihusu π