Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Uongo?

Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.

Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.

Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza

Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.

Mhe. Jokate anahitaji nafasi nyingine mbili aive vizuri.
 
Back
Top Bottom