Wakishua hawajui. Ila wale wakongwe wenzangu mlikuwa mnayaitaje haya mazaga "kichuga kiboboroo"

Wakishua hawajui. Ila wale wakongwe wenzangu mlikuwa mnayaitaje haya mazaga "kichuga kiboboroo"

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Hatari sana huu mzigo enzi za primary school ndo unatrend yanachukua sehem ya simu mfukoni mnakuta mwana anatembea full loaded

Ebu wale wakongwe tukuje kukumbushana kidogo Wakishua someni comments

IMG_20200603_112529.jpg
 
uketo naupenda mpaka leo
Enz za primary school hizo mwalimu anafundisha maarifa ya jamii uoto wa asili nyie mnatafuta harufu darasa zima hahahaba
 
Kuna chaliang Mmoja hivi alikuwa anaitwa kevoo alikuwa damu yang San yaani alikuwa fundi wa kuseti hii zaga asikuambie mtu yakikuwa malaini anaweka na wese kwambali na sukari dadeq [emoji2960] kitu kinanukia class mzima full maarufu wahuni tumechill back benja kweny corner pale tunatafuta kwa signal yalisitoe kelele wasela wasije kusanuka ikawa jau . Teacher anafundisha maarifa ya jamii wapolo [emoji109] tunasaga ado ado
 
Unakuta kwenye mfuko wa kaptula umeyajaza yamekuchafua kwa mafuta ljn hujali wala nn shule Raha Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo madude yalinichelewesha sana shule vipindi vya mchana mpaka tuyakaange kwenye sufuria na jamaa yangu (Chija) RIP.
Dah tulikuwa tunaenda kuiba mahidi yaliyoanza kukauka kwenye mashamba ya watu aisee hatari sana
 
Ila nimegundua kuwa kweli watu wa zamani walikuwa wagumu,tulikuwa tunatafuna hiyo kitu hatuumwi meno wala nini,siku hizi watu wanatafuna Pop corn tu,ukimpa hiyo kitu lazima kesho yake utasikia jaws zinaniuma au nashindwa kabisa kutafuna chakula meno yananiuma kweli......
 
Wakishua kile kitu wanabaguliwa
Hawezi Fanya


Unaweza ukawa wa kishua ukawa changanyikeni muuni flani hivi
Naamini wapo wa kishua waliokula uketo


Nb: mi sio wa kishua
 
Hio kitu enzi hizo primary iliwahi mfanya jamaa yangu kuchezea fimbo za kutosha...

Tupo class pindi la sayansi, teacher mkali huyo. Jamaa akaanza kutafuna kwa nguvu na ile yake sasa. Teacher alisala akaja kutusachi backbenchers wote.

Jamaa alikua mchoyo anatafuna mwenywe alipigwa huyo daaahh
 
Hakishua awezi elewa hii kitu ni nn na ladha yake ipoje nikama unatafuna maini vile.
 
Hayo madude yalinichelewesha sana shule vipindi vya mchana mpaka tuyakaange kwenye sufuria na jamaa yangu (Chija) RIP.
Dah tulikuwa tunaenda kuiba mahidi yaliyoanza kukauka kwenye mashamba ya watu aisee hatari sana
Ilikuwaga Raha Sana mm nilikuwa nachelewa kulala kwa ajili ya kuyakaanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom