Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,788
- Thread starter
- #21
Kipind hicho ukitafuna unasikia khaaaaaahh kama umetafuna jiwe vile kumbe ni muhindiIla nimegundua kuwa kweli watu wa zamani walikuwa wagumu,tulikuwa tunatafuna hiyo kitu hatuumwi meno wala nini,siku hizi watu wanatafuna Pop corn tu,ukimpa hiyo kitu lazima kesho yake utasikia jaws zinaniuma au nashindwa kabisa kutafuna chakula meno yananiuma kweli......
Sent using Jamii Forums mobile app