Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Heh Zee mdogo wangu huyo siwezi kumtoa.Mtoe Zee 😁😁😁
Ngoja na mimi nijitafute, kumbe mnaweza kuchanga watu kadhaa mkafanya collabo eeh
Km unapenda movie jitafute tu. Mie jana mume wangu kataka nim connect pia. Imeonekana kama imekubali lkn tunatumia profile moja haijakubali kwa profile yake pekee