Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Heh Zee mdogo wangu huyo siwezi kumtoa.Mtoe Zee πππ
Ngoja na mimi nijitafute, kumbe mnaweza kuchanga watu kadhaa mkafanya collabo eeh
Yani mpaka waseme season complete.mbona zipo 7 zote zipo online
Mie nalipia cha dola 10 kwa mwezi na account yangu na share na watu wengine. So iko poa naona. Si bei mbayaKwani vifurushi vya Netflix bei gani ?
Kwani vifurushi vya Netflix bei gani ?
Haina ushua....Mie nalipia cha dola 10 kwa mwezi na account yangu na share na watu wengine. So iko poa naona. Si bei mbaya
Season 1 ilikuwa ya motoooHaina ushua....
Hii series ni nzuri ....?
mie nimeshaimaliza ni series kalii sanaSeason 1 ilikuwa ya motooo
Ndio tunataka kuicheki hii sasa. Sijajua itakuwa vp. Wameiachia leo
wameachia part one complete part 2 mpaka mwakaniYani mpaka waseme season complete.
Hapo week 1 tu unanyoosha season hata kama zipo 6
Niliangalia The Rookie niliipenda saana. Nitaanza hii nione itaendaje.Season 1 ilikuwa ya motooo
Ndio tunataka kuicheki hii sasa. Sijajua itakuwa vp. Wameiachia leo
Umetishaaa. Na kumalizia ushamalizia.mie nimeshaimaliza ni series kalii sana
tutaivizia huko kwenye part 2wameachia part one complete part 2 mpaka mwakani
Ungechukua torrent kaka hao medeberiyaa kwa 720 mwenzio nimeingia chaka EP Moja haikuwa na subtitles embu ikijaa kama Haina chukua hiyo torrent niliyokupa ndio mi nimepata dubbed yake
πππAfu Zina masaa mengi sana hicho kipande cha kwanza lisaa lizima aiseeUmetishaaa. Na kumalizia ushamalizia.
Wacha niipuruzie, ntakuja kuicheki nikitulia. Nisije nikaangalia saivi nikajikuta nakesha na kesho job
π π π
May be this weekend, Saturday-SundayπππAfu Zina masaa mengi sana hicho kipande cha kwanza lisaa lizima aisee
luka na torrent niliyokupa embu usikancel kwanza icheki maana mie nilichukua 720Jez ninechukua 1080 ngoja nicancell
mie nilivyomaliza KUIPAKUA nikaicheki fASTAMay be this weekend, Saturday-Sunday