Wakitaka kumuondoa Abramovich kuimiliki Chelsea wamlipe trilioni 4.6

Wakitaka kumuondoa Abramovich kuimiliki Chelsea wamlipe trilioni 4.6

Kashachomoka na huo mpunga hamna aliyemlipa
 
Tuliwaambia Team Putin kuwa sanctions ni kansa itakayowatafuna lkn hawakuelewa
 
hata raia israel anabebwa sana,
maana sheria za uingereza zinawapa masharti nafuu wawekezaji wenye uraia wa israel,
alafu uingereza ishajitoa eu,
Kinachomuua ni kumuunga mkono Putin regardless ni raia wa Uingereza au lah
 
Abramovich Ni Raia wa Nchi tatu..

Russia , Israel na Ureno....

Kwanini Israel? Ni kwa Sababu Israel na Uingereza wana mahusiano mazuri kidiplomasia na Hii kwake Ni ulinzi.. kidiplomasia.

Kwa Nini Ureno?

Kwa Sababu Ureno Ni Mwanachama wa Umoja wa Ulaya na pia Ureno Ni Mwanachama wa NATO

Kwa hiyo kidiplomasia hii nayo inamlinda kwa Sababu na yeye Ni Raia halali wa Ulaya na anahaki zote kisheria Kama Raia mwingine wa Umoja wa Ulaya...
Uko sahihi
Screenshot_20220227-113140_Chrome.jpg
 
Watu wa ulaya magharibi wanaamini kuwa wao ni binadamu bora zaidi ya wengine....

Huu ndio ukweli WASIOTAKA dunia iuchambue sana......

WHITE SUPREMACY IS REAL
 
Matajir wengi wa Urusi itakula kwao Sana labda wabadili uraia na watoke huko urusi
 
Hiyo haimsaidii, ndio maana hata yeye machale yamemcheza akakabidhi timu kwa bodi ya wadhamini.
Timu bado anaimiliki yeye.

Alichokabidhi ni yale maamuzi ambayo yalikuwa yanatoka kwake moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom