Wakitaka kumuondoa Abramovich kuimiliki Chelsea wamlipe trilioni 4.6

Kashachomoka na huo mpunga hamna aliyemlipa
 
Tuliwaambia Team Putin kuwa sanctions ni kansa itakayowatafuna lkn hawakuelewa
 
hata raia israel anabebwa sana,
maana sheria za uingereza zinawapa masharti nafuu wawekezaji wenye uraia wa israel,
alafu uingereza ishajitoa eu,
Kinachomuua ni kumuunga mkono Putin regardless ni raia wa Uingereza au lah
 
Uko sahihi
 
Watu wa ulaya magharibi wanaamini kuwa wao ni binadamu bora zaidi ya wengine....

Huu ndio ukweli WASIOTAKA dunia iuchambue sana......

WHITE SUPREMACY IS REAL
 
Matajir wengi wa Urusi itakula kwao Sana labda wabadili uraia na watoke huko urusi
 
Hiyo haimsaidii, ndio maana hata yeye machale yamemcheza akakabidhi timu kwa bodi ya wadhamini.
Timu bado anaimiliki yeye.

Alichokabidhi ni yale maamuzi ambayo yalikuwa yanatoka kwake moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…