Wako wapi hawa malegend?

Wako wapi hawa malegend?

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
4,251
Reaction score
2,869
Niseme wazi mimi ni mpenzi wa kusikiliza TBC taifa radio,hasa vipindi vyao vya Pwagu na pwaguzi(kinarushwa kila siku ya j3 hadi ijumaa saa 11:45 jioni) na kile cha TUNZA IKUTUNZE(Kinarushwa kila jpili saa 3:30 usiku)sisikilizi zaidi ya hivyo vipindi.Ni michezo ya radio ya kuigiza.Kwenye mchezo wa pwagu na pwaguzi japo wanaongelea mipango yao ambayo mwishowe inabuma ila nafahamu mzee Pwagu ameshakufa sifahamu kuhusu mzee pwaguzi!kwenye igizo la Tunza ikutunze,yupo mtu anaitwa mzee Jongo.kipara,bi nyakomba nk.Swali langu ni je,hawa malegend wa michezo ya kuigiza(nyakomba,jongo,kipara nk) wako hai?na kama ndiyo wana mishe gani kwa muda huu?naweza pata kazi zao mahala?
 
Aisee kitambo sana .
Nimecheka sana wiki ilopita,unarudiwa mchezo wa mwaka 1999 bi nyakomba amecharuka hajapewa taarifa ya kaka yake kupata eksident ilhali kakaake mwingine ambaye ni mzee jongo anafahamu!!
 
Mzee Jongo(Ibrahim Raha)alishafariki kitambo.
 
Hawa wazee ni wa zamani sana,kama wapo hai baadhi itakuwa ni wachache. Wapo niliowafahamu personally ambao pamoja na uigizaji walikuwa ni waajiriwa wa serikalini(si wote). Hapa nazungumzia miaka ya nineteen eighties huko,you can imagine kuna baadhi enzi hizo walikuwa wazee(Mzee Jongo,Mzee Hamis Tajiri,Mzee Saidi Panda just to mention few). Records za maigizo yao naamini ukienda TBC utazipata kirahisi.
 
Kweli kabisa mkuu kwa mfano igizo la pwagu na pwaguzi linalorudiwa sasa lilirushwa mwaka 1979!nitajitahidi nitembelee tbc leoleo maana tuliozaliwa 80's nahisi tulikosa mengi.
 
Nimecheka sana wiki ilopita,unarudiwa mchezo wa mwaka 1999 bi nyakomba amecharuka hajapewa taarifa ya kaka yake kupata eksident ilhali kakaake mwingine ambaye ni mzee jongo anafahamu!!
Yaani katupeleka analog.
Hahhahah....hawa walikuwa ni vituko aisee
 
Maisha kama Kitabu kila zama zinakuja na kurasa mpya za hao magwiji kurasa zao zilipita japo zimeacha kumbukumbu nzuri.
 
Back
Top Bottom