Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Niseme wazi mimi ni mpenzi wa kusikiliza TBC taifa radio,hasa vipindi vyao vya Pwagu na pwaguzi(kinarushwa kila siku ya j3 hadi ijumaa saa 11:45 jioni) na kile cha TUNZA IKUTUNZE(Kinarushwa kila jpili saa 3:30 usiku)sisikilizi zaidi ya hivyo vipindi.Ni michezo ya radio ya kuigiza.Kwenye mchezo wa pwagu na pwaguzi japo wanaongelea mipango yao ambayo mwishowe inabuma ila nafahamu mzee Pwagu ameshakufa sifahamu kuhusu mzee pwaguzi!kwenye igizo la Tunza ikutunze,yupo mtu anaitwa mzee Jongo.kipara,bi nyakomba nk.Swali langu ni je,hawa malegend wa michezo ya kuigiza(nyakomba,jongo,kipara nk) wako hai?na kama ndiyo wana mishe gani kwa muda huu?naweza pata kazi zao mahala?