Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
vip kuhusu ladydoctor nae kapotea siku hizi
Njoo JLW tuonane jamani
Unavyomwita huyu jamaa bebii ina maana ndo huyu alikutoroshaga JF kipindi kile na kukuficha kwenye maficho ya mapenzi kwa mda?Mbona kama siyo huyu??Au nimepoteza kumbukumbu???[emoji30]Bebii.......hao wote wapo.......ukienda kwenye siasa utawakuta.......hasa TANMO.......
Aisee mie bhana nipo.Madame B mekumiss mnooo, mpo? ?
Na wenzangu Evelyn Salt na a.rahabu tukiwa tunalisongesha baraza?Hawajui kuwa wewe Ni mwenyekiti