Wako wapi hawa wana chit -chat?

Wako wapi hawa wana chit -chat?

Last edited by a moderator:
Bebii.......hao wote wapo.......ukienda kwenye siasa utawakuta.......hasa TANMO.......
Unavyomwita huyu jamaa bebii ina maana ndo huyu alikutoroshaga JF kipindi kile na kukuficha kwenye maficho ya mapenzi kwa mda?Mbona kama siyo huyu??Au nimepoteza kumbukumbu???[emoji30]
 
Madame B mekumiss mnooo, mpo? ?
Aisee mie bhana nipo.
Majukumu ya kimazingira yametufanya tuwe mbalimbali.....lakini nipo japo naingia Jf kwa jicho moja, si unajua amri ya kutoshika simu makazini inatiliwa mkazo sasa?
Mababy zangu hawajambo?
Siku jifanye kama umepotea njia upotee hadi ufike nyumbani Kinondoni basi.
 
Back
Top Bottom