cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
nipo Nicas Mtei, nipo best, mimba ya Asprin ndio tishio kwangu, kuzaa sizai cha moto nakionaNimekumiss sana aiseeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo Nicas Mtei, nipo best, mimba ya Asprin ndio tishio kwangu, kuzaa sizai cha moto nakionaNimekumiss sana aiseeeee
ha ha ha ha naogopa hii serikali Isije kutufukua watukute tukifanya yetu, kama tu Mexence wamemfukua, itakuwa mimi na wewe hubby?Ikiwezekana tufe siku moja, tuzikwe kaburi moja.
Hili nalo neno. Basi tusife... tuishi milele. Tupeane kila siku mpk siku ya kiama.ha ha ha ha naogopa hii serikali Isije kutufukua watukute tukifanya yetu, kama tu Mexence wamemfukua, itakuwa mimi na wewe hubby?
hubby wa mimi, sugar wa cacico [emoji182] [emoji182] tukutane maeneo, najiandaa kutoka wallahHili nalo neno. Basi tusife... tuishi milele. Tupeane kila siku mpk siku ya kiama.
Mimi penda sana wewe muke ya ujana wangu.[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Chapchap sana yani... uje without kabisa...hubby wa mimi, sugar wa cacico [emoji182] [emoji182] tukutane maeneo, najiandaa kutoka wallah
jana ulilala kwa Yummy kweli? ? au yule mke mwenzetu mwingine? ? nimemsahau jina, mimba hii inanizeesha kwa kweliChapchap sana yani... uje without kabisa...
Maana wewe ndio chaguo langu, faraja ya moyo wangu, sababu ya furaha yangu na kimbilio la nafsi yangu....
ha ha ha ha ha sijamtia machoni toka Ben saa 8 adisapie; labda ndiye mume mwenzio. kaazi kweli kweli.Aaaa wote nshawapiga chini. Penzi lako limenielemea. Siambiwi sisikii. Leo nakuletea limbwata uniwekee. Liwalo na liwe...
Hivi Kongosho una taarifa zake? Au kaongozana na Max??
Na wewe em funguka mkuu,nitakujaaaa best wa mimi, nimeshukuru kusikia u r fine rafiki, salimia woteeee uwajuao, wanijuao [emoji12] [emoji12]
Mamaa wa yaeda "chini" habari ya siku tele?Nipo sana mno........naangalia tu.....sina namna....
Ojare aka....... yupo Posta, soon atahamia Dodoma
Kuna 'rokoo' kwani huku? Kama vipi mtu anchukulie namba...
Mamaa wa yaeda "chini" habari ya siku tele?
Vyema sana.Nipo sana mno........naangalia tu.....sina namna....
Mimi sichezi tena na wewe...Hebu kwanza tafuta wakili......ili tuanze mazungumzo......
Ninafanya mazungumzo na A. Msando, soon anatinga hapa.Hebu kwanza tafuta wakili......ili tuanze mazungumzo......