Wako wapi hawa wana chit -chat?

Wako wapi hawa wana chit -chat?

ha ha ha ha naogopa hii serikali Isije kutufukua watukute tukifanya yetu, kama tu Mexence wamemfukua, itakuwa mimi na wewe hubby?
Hili nalo neno. Basi tusife... tuishi milele. Tupeane kila siku mpk siku ya kiama.

Mimi penda sana wewe muke ya ujana wangu.[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
hubby wa mimi, sugar wa cacico [emoji182] [emoji182] tukutane maeneo, najiandaa kutoka wallah
 
Chapchap sana yani... uje without kabisa...

Maana wewe ndio chaguo langu, faraja ya moyo wangu, sababu ya furaha yangu na kimbilio la nafsi yangu....
 
jana ulilala kwa Yummy kweli? ? au yule mke mwenzetu mwingine? ? nimemsahau jina, mimba hii inanizeesha kwa kweli
 
Aaaa wote nshawapiga chini. Penzi lako limenielemea. Siambiwi sisikii. Leo nakuletea limbwata uniwekee. Liwalo na liwe...

Hivi Kongosho una taarifa zake? Au kaongozana na Max??
 
ha ha ha ha ha sijamtia machoni toka Ben saa 8 adisapie; labda ndiye mume mwenzio. kaazi kweli kweli.
 
afu ujue kuna ulazima wa kujua wenzetu walipo
Huyu mtu kitaaaambo sijamtia machoni, tangu tour ya Tanga
Kuwatafuta ni jambo moja jema, sema unaweza kukuta mtu yumo na id ingine anatuchora tu. Smile sijui yaliyompata mpaka leo......
 
Kuna 'rokoo' kwani huku? Kama vipi mtu anchukulie namba...
 
Back
Top Bottom