nitakujaaaa best wa mimi, nimeshukuru kusikia u r fine rafiki, salimia woteeee uwajuao, wanijuao [emoji12] [emoji12]Aisee mie bhana nipo.
Majukumu ya kimazingira yametufanya tuwe mbalimbali.....lakini nipo japo naingia Jf kwa jicho moja, si unajua amri ya kutoshika simu makazini inatiliwa mkazo sasa?
Mababy zangu hawajambo?
Siku jifanye kama umepotea njia upotee hadi ufike nyumbani Kinondoni basi.
hahahah......haya best.nitakujaaaa best wa mimi, nimeshukuru kusikia u r fine rafiki, salimia woteeee uwajuao, wanijuao [emoji12] [emoji12]
Umepotea sana
Shoga simu yangu imepondwa pondwa na shemeji yako Jumapili usiku.Umepotea sana
Naenda kumwambia aisee wacha ni screenshotShoga simu yangu imepondwa pondwa na shemeji yako Jumapili usiku.
Hali hii hajanikuta na bikra hata moja, je,angenikuta na angalau ya kudakia kimba je?.....wanaume wengine washamba wa kigoroko.
Sijui hata wa wapi huyu....nitachomoa pesa kidogokidogo kwenye wallet yake akilewa mpaka nitanunua ingine.
Kakufumania nini, umemtoa wapi huyo mwenye hasira za hivoShoga simu yangu imepondwa pondwa na shemeji yako Jumapili usiku.
Hali hii hajanikuta na bikra hata moja, je,angenikuta na angalau ya kudakia kimba je?.....wanaume wengine washamba wa kigoroko.
Sijui hata wa wapi huyu....nitachomoa pesa kidogokidogo kwenye wallet yake akilewa mpaka nitanunua ingine.
Kweli wakikaa wanawake sehemu moja story 8 wanawasema waume zao [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kakufumania nini, umemtoa wapi huyo mwenye hasira za hivo
nilidhani umewaona mahali currently, wakubwaaaaa! karibu nitakuita kitchen partyUlishawahi kutuonesha
Ushakuwa mzee....unasahau
babu weeee......kaja mjini kanikuta, anajua huku nyuma nilikuwa na akina nani?Kakufumania nini, umemtoa wapi huyo mwenye hasira za hivo
mie ndo nitakuwa Nyakanga wao na kungwi....nawafunda wafundike haswaaaaaanilidhani umewaona mahali currently, wakubwaaaaa! karibu nitakuita kitchen party
Siku nyingine akileta hasira za hivo useme mapema, tuvae sare tukamsute na keki mkononi.... Hata kama ni shemejibabu weeee......kaja mjini kanikuta, anajua huku nyuma nilikuwa na akina nani?
Akitaka mwanamke wa peke yake, akachonge kinyago akilee.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji121] [emoji121]Siku nyingine akileta hasira za hivo useme mapema, tuvae sare tukamsute na keki mkononi.... Hata kama ni shemeji
Poa mama.Siku nyingine akileta hasira za hivo useme mapema, tuvae sare tukamsute na keki mkononi.... Hata kama ni shemeji
Ila unaenda kumpikia[emoji23] [emoji23] ndo raha ya kuwa kidumePoa mama.
Ngoja nikampikie,baadae tutaongea umbea wake vizuri.
Mtu wenyewe kaja mjini na roli la makabichi toka Tanga