Wako wapi hawa wana chit -chat?

Wako wapi hawa wana chit -chat?

Aisee mie bhana nipo.
Majukumu ya kimazingira yametufanya tuwe mbalimbali.....lakini nipo japo naingia Jf kwa jicho moja, si unajua amri ya kutoshika simu makazini inatiliwa mkazo sasa?
Mababy zangu hawajambo?
Siku jifanye kama umepotea njia upotee hadi ufike nyumbani Kinondoni basi.
nitakujaaaa best wa mimi, nimeshukuru kusikia u r fine rafiki, salimia woteeee uwajuao, wanijuao [emoji12] [emoji12]
 
Umepotea sana
Shoga simu yangu imepondwa pondwa na shemeji yako Jumapili usiku.
Hali hii hajanikuta na bikra hata moja, je,angenikuta na angalau ya kudakia kimba je?.....wanaume wengine washamba wa kigoroko.
Sijui hata wa wapi huyu....nitachomoa pesa kidogokidogo kwenye wallet yake akilewa mpaka nitanunua ingine.
 
Naenda kumwambia aisee wacha ni screenshot
 
Shoga simu yangu imepondwa pondwa na shemeji yako Jumapili usiku.
Hali hii hajanikuta na bikra hata moja, je,angenikuta na angalau ya kudakia kimba je?.....wanaume wengine washamba wa kigoroko.
Sijui hata wa wapi huyu....nitachomoa pesa kidogokidogo kwenye wallet yake akilewa mpaka nitanunua ingine.
Kakufumania nini, umemtoa wapi huyo mwenye hasira za hivo
 
nilidhani umewaona mahali currently, wakubwaaaaa! karibu nitakuita kitchen party
mie ndo nitakuwa Nyakanga wao na kungwi....nawafunda wafundike haswaaaaaa
Hata nikiwaona siwakumbuki....niliwaona wadogo saaana kipindi kile
 
Siku nyingine akileta hasira za hivo useme mapema, tuvae sare tukamsute na keki mkononi.... Hata kama ni shemeji
Poa mama.
Ngoja nikampikie,baadae tutaongea umbea wake vizuri.
Mtu wenyewe kaja mjini na roli la makabichi toka Tanga
 
Back
Top Bottom