Ha ha ha ha ha kumbe ni mla nyanya chungu haya msalimie, unipe namba ake nimsalimie piaPoa mama.
Ngoja nikampikie,baadae tutaongea umbea wake vizuri.
Mtu wenyewe kaja mjini na roli la makabichi toka Tanga
Ni mimi hapa mama wa watoto wangu... kwa maana umeniita.
Shikamoo bibi @cacico!Haunitambulishi baadae unawaambia watu mie namjua bibiWe mwana wewe.... tangu lini bibi akatambulishwa?? Bibi anatambulikana kwa majukumu yake. Haya mwamkie bibi yako cacico
mume wangu nasikia dalili za uchungu, usichelewe kurudi, nakupenda jana, leo na. milele!Siku ile nlikuambia tusifanye mchana ukanibishia... Mimba ya mchana mvua ikiwa inanyesha ndo inakuwaga hivyo mamii...
Mapacha ndo inavokuwaga... vumilia mamii
tupendane milele mume wangu. ..Ni mimi hapa mama wa watoto wangu... kwa maana umeniita.
Sema neno moja tu na roho yangu itapona.
NimeipendaSHUKA HALINA MFUKO.
BORA NIIANGALIE AFYA YANGU KWA SASA,KWA MAANA MAISHA YANGU KUNA WAMBEA WANANISAIDIA KUYAANGALIA.
AjajajajajajjaajaPoa sana......Ila nawe umeadimika.........
Usifanye hivyo bana.......
Nimekumiss sana aiseeeeedha mathiku Preta?? mith u pipo wallah
We kizee siku hizi hulewiAsprinhi Ist: 18900339 said:Siku ile nlikuambia tusifanye mchana ukanibishia... Mimba ya mchana mvua ikiwa inanyesha ndo inakuwaga hivyo mamii...
Mapacha ndo inavokuwaga... vumilia mamii
Ikiwezekana tufe siku moja, tuzikwe kaburi moja.tupendane milele mume wangu. ..
Tulia we dogo... wakubwa tunaongea.We kizee siku hizi hulewi
Jibu swaliTulia we dogo... wakubwa tunaongea.