Wako wapi hawa wana chit -chat?

Wako wapi hawa wana chit -chat?

Poa mama.
Ngoja nikampikie,baadae tutaongea umbea wake vizuri.
Mtu wenyewe kaja mjini na roli la makabichi toka Tanga
Ha ha ha ha ha kumbe ni mla nyanya chungu haya msalimie, unipe namba ake nimsalimie pia
 
Siku ile nlikuambia tusifanye mchana ukanibishia... Mimba ya mchana mvua ikiwa inanyesha ndo inakuwaga hivyo mamii...

Mapacha ndo inavokuwaga... vumilia mamii
mume wangu nasikia dalili za uchungu, usichelewe kurudi, nakupenda jana, leo na. milele!
 
Asprinhi Ist: 18900339 said:
Siku ile nlikuambia tusifanye mchana ukanibishia... Mimba ya mchana mvua ikiwa inanyesha ndo inakuwaga hivyo mamii...

Mapacha ndo inavokuwaga... vumilia mamii
We kizee siku hizi hulewi
 
Back
Top Bottom