Mimi sichezi tena na wewe...
Naenda kukusemelea kwa mama.
Ushamwaga oil kwenye ule mStout wako. Mwaka huu sitaki visingizio...Ha ha.......aiseee........
Ulalu nkiki see ndao........tchaaaa........
Ushamwaga oil kwenye ule mStout wako. Mwaka huu sitaki visingizio...
Wari na uheshimiwe na watu wote
Aika mae kanyi....Aikambe Mochi kanyi.....tchaaa.......ngampusuo wose piu.......stout ipo piru mbaya.......
nadhani tukutane Himo kama tulivyopanga.........
🙄 Eeee mae kanyi ngakuona Mleu. aleee womi.. Nom-ura irinda lya Chrismass???Ha ha.......aiseee........
Ulalu nkiki see ndao........tchaaaa........
Shikamoo babuAika mae kanyi....
hapo Himo utanikuta nimesharia kidoko... tchaaa!
Sipendagi ujinga kwenye mambo ya mndeni ifikapo Disemba. Kitimoto na bia tunavipenda lakini mburu, ksusio na wari tunavipenda zaidi...
Tuvumiliane tu.
Dr unachofanya hakikubaliki.........
Mpwa kwema? Babu Dark City naye kapotea sanaBora hata mimi aisee...huyo Smile alipotea mazima
Kumbe mpo?
aiseeeeee dada langu mwenyewe ulikuwa wapi aiseeKaka mtumwa natumaini haujambo. Salamu tele kwa wapwa zangu.
nakuona mkonweDuuh haya wakongwe....
aiseeeeee dada langu mwenyewe ulikuwa wapi aisee
Nimefichwa na shemeji yako. Si unajua uzee unaambatana na wivu uliokithiri? Namshukuru Mungu kuna uzima. Umemisika aisee