Wako wapi hawa wana chit -chat?

Wako wapi hawa wana chit -chat?

Ha ha.......aiseee........
Ulalu nkiki see ndao........tchaaaa........
Ushamwaga oil kwenye ule mStout wako. Mwaka huu sitaki visingizio...

Wari na uheshimiwe na watu wote
 
Ushamwaga oil kwenye ule mStout wako. Mwaka huu sitaki visingizio...

Wari na uheshimiwe na watu wote

Aikambe Mochi kanyi.....tchaaa.......ngampusuo wose piu.......stout ipo piru mbaya.......
nadhani tukutane Himo kama tulivyopanga.........
 
Aikambe Mochi kanyi.....tchaaa.......ngampusuo wose piu.......stout ipo piru mbaya.......
nadhani tukutane Himo kama tulivyopanga.........
Aika mae kanyi....

hapo Himo utanikuta nimesharia kidoko... tchaaa!
Sipendagi ujinga kwenye mambo ya mndeni ifikapo Disemba. Kitimoto na bia tunavipenda lakini mburu, ksusio na wari tunavipenda zaidi...

Tuvumiliane tu.
 
Shikamoo babu
 
Wanasema nano kuntu ila ujue mie ndio mumeo wa kufa Na kuzikana hope unajua ikiwa utazinguana Na Shem uelekeo wako ni wapi bila Shaka ni kurudi home
Nimefichwa na shemeji yako. Si unajua uzee unaambatana na wivu uliokithiri? Namshukuru Mungu kuna uzima. Umemisika aisee
 
Back
Top Bottom