Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Faiza bado Yuko Chato anaomboleza msibaJamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la Jamiiforums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zao😵NGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
Huyu bibi umri umesonga...inaelekea macho yanampa shida.Faiza bado Yuko Chato anaomboleza msiba
Hahahaa, ni mbishi balaa, ila atarudi, awamu itamvuta,Ile nyingine hakuipendaHuyu bibi umri umesonga...inaelekea macho yanampa shida.
Ila ukitaka kumwona anzisha uzi wa malumbano ya dini(ukristo na uislam).
Hawa washenzi wa tabia sijui wamejichimbia wapi! Au wamekanya wire wakala banGuDume General Galadudu tuwakumbuke pia
Ongezea nyani ngabu, miss natafuta napendaga sana vigongo vyao miye!Jamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zao😵NGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
Wazee wana story za Fix ao sijui wanazitoga wapiHawa washenzi wa tabia sijui wamejichimbia wapi! Au wamekanya wire wakala ban
Wastand yupo mzima wa afya ila majukumu tu yamembana
Jamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zao😵NGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
hivi picha uliyo iweka kwenye profile yako ndio wewe au ndugu yako?Nipo mkuu majukumu tuu yananibana[emoji2312][emoji2312]
Hornet nilimuona mahali wiki hiiNa vipi kuhusu Hawa; Viatu vya Samaki, Demis na Hornet
picha yenyewe ni hii,hivi picha uliyo iweka kwenye profile yako ndio wewe au ndugu yako?
Unakatisha tiketi wapi mkuuNi kweli mkuu sipumziki kabisa over time kama zote huku stendi[emoji30]