wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
picha yenyewe ni hii,View attachment 2481326
Ewaaaa!!!boss wangu uyo.mwaaaaaaaaaaaaa[emoji39][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picha yenyewe ni hii,View attachment 2481326
Unakatisha tiketi wapi mkuu
General Galadudu alikuwa mtu wa fix sana sijui kapotelea wapiGuDume General Galadudu tuwakumbuke pia
Nyani ngabu alikuwepo kwenye uzi wa juzi wa bujibuji simba nyamaume.Ongezea nyani ngabu, miss natafuta napendaga sana vigongo vyao miye!
Kama wapo majukwaa mengine wasinishangae kwa uwepo wao, maana mi huingia kwa machale na kuishia kuperuzi "hoja na habari mchanganyiko".
Nikiranda randa kwa muda mfupi najiondokea mapema.
Nilijua tu mkuu, pole sana naona kijiwe kiko moto sana siku hizi mbili 3
hatari ao watu ulkuwa ukiona story zao kichwa tu unaanza kuchekaGeneral Galadudu alikuwa mtu wa fix sana sijui kapotelea wapi
Nyani ngabuJamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zao😵NGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
Walinishawishi sana hawa watu miaka ya nyuma mpaka nikajiunga na jfJamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zao😵NGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
Bibi yule kikongwe hakanyiki alipata uteuzi awamu ya sita. Inawezekana majukumu yamemzidia mdini yuleJamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zao😵NGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
@Hornet amejaa tele humuNa vipi kuhusu Hawa; Viatu vya Samaki, Demis na Hornet
Yupo.
Salaamoun Aleykum.
Yuko ubalozini majukumu yamembanaRebecca nae kapotea sana
🤣🤣🤣🤣 sitasahau juzi nimetoka mjini saa 4:00 usiku bila kupenda hadi kwa wakulima wa nanasi kuchukua umbea wa kizaramo, ngachoka kabisaa 😁😁😁Wee acha tuu hujakaa hapa unaambiwa nenda pale ukifika unaambia njoo huku ukienda unaambiwa nenda kule yaani
Mi nikajua ndo huyu anaeupiga mwingiHuyu bibi umri umesonga...inaelekea macho yanampa shida.
Ila ukitaka kumwona anzisha uzi wa malumbano ya dini(ukristo na uislam).