Wako wapi hawa watu wa zamani?

Wako wapi hawa watu wa zamani?

Waliimba kibao kinaitwa "KOSA LA MAREHEMU"

Duuuh.... Kibao chao kilikuwa ni noma sana.

Kuna mwingine aliimba wimbo matata sana. Jina nimesahau ila wimbo unaitwa KAZEZE

ODG kama sikosei...yuko ughaibuni huko
 
Hisabatic yupo Mbeya now...karudi uwanjani anapasha kikapu pale Youth Center kila jioni
Bonge moja la Mc ila ndo hayuko kwenye mainstream
Mike T mnyalu ni wa huko huko kwenu nyanda za juu kusini, yuko wapi?

Ngoma zake, kama, nampenda
 
ha ha ha ha ha pale yanapaki mabasi ya kimbakae au wanauza na ma scania hivi
Hapana. Kimbakae ile ni garage ya magari ya ifakara. Anayosema jamaa Hiyo garage ni kama waenda saba saba wall imepakana na jeshi.
 
Nimekumbuka tu leo hizi ngoma huwa zinaniliwaza nikitingwa..
Manduli mobb/ nature na mh Temba..
Kindumbwe ndubwe - FDC.
Kula kona ----- Manzese crew.
Mtulize. --- Mabaga fresh/nature.
Bila sanaa ----- Imam abbas/ nature.
 
Back
Top Bottom