Easyway
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 2,606
- 3,710
Uswahilini Matola wanatokea Mbeya soko Matola.Walikuwa wanatokea tanga barabara ya 16
Uswahilini matola wee...kosa la marehemu hakuvaa kondoma hakuvaa kondom...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uswahilini Matola wanatokea Mbeya soko Matola.Walikuwa wanatokea tanga barabara ya 16
Hivi MR nice vipi ? ,watu wa dar,ni kweli alikua anatembea na msululu wa magari na wapambe wake ? ,alikua anakesha bar ? ,nini kilipelekea kupoteza pesa mtu huyu aliyewahi kudai kuwa na billioni moja tsh
Na wale jamaa walioimba Fagio la chuma ni akina naniUswahilini Matola wanatokea Mbeya soko Matola.
Uswahilini matola wee...kosa la marehemu hakuvaa kondoma hakuvaa kondom...
Kali P mbona habari zake nyingi tu? Ni hivi karibuni amerudi CCM akitokea ACT WAZALENDO. Siku hizi ni mwanasiasa na ana kipindi kinaitwa HARAKATI huko Channel Ten TV.Wapi
Kali P
Ukiwa mwanasiasa unatakiwa ku take comouflage,maana unatumika kwa muda tu,no matter kwa muda gani ku expire kisiasa ni lazimaWapi
Kali P
umenifanya niusake huu wimboElimu biashara na ndoto kede! Huhaa
**** weweEnzi zile bhana. Mtu akitoa single tu lazima akazulule Posta Mpya, kutwa kudundika dundika mfukoni hela hawana. Ndio maana wamelost .
Huyu Diamond kaja kuwaonyesha kwamba ile ni kazi kama kazi nyingine. Lakini bado wanamchukia tu