Wako wapi hawa?

Wako wapi hawa?

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
529
Reaction score
227
Kutokana na shughuli zangu zangu si mara kwa mara nimekuwa nikiingia jamiiforums hasa MMU ,lakini kila napopata wasaa na kuingia nimekuwa nikikutana na member wapya ambao kwa wakati huo ndio wamekuwa wakishika hatam, japo kuna baadhi wa muda mrefu pia wapo kama kawaida yao lakini kuna kama huyu lara 1, tina cute, heavenonearth na wengineo wako wapi hawa watu weka na wengine ambao kwa sasa huwaoni humu jukwaani
 
lara 1 nimemuoa ndoa ya pili!!! yupo analea mtoto, majukumu yakipungua atakuja
 
Last edited by a moderator:
Mie nime mmiss Lara1 sana tu. Alikuwa na story kali sana za mademu majambazi kama ex-wangu Jambazi hatari.
 
Mkuu BAK nini kimemtokea? Alipotea kabla ya uchaguzi
 
Last edited by a moderator:
Zile ID zilifunguliwa na majambazi ya ccm


Swissme
 
manoah yuko wapi rafiki yangu?
 
Last edited by a moderator:
multiple ID ndugu unakuta mmekutana na mtu humu mka pm ana weeee mkakutana mkafanya yenu kwa mda flani akakumwaga unafikir utakuwa huru kuchangia?? unakuja kivingine
 
Back
Top Bottom