thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 529
- 227
Kutokana na shughuli zangu zangu si mara kwa mara nimekuwa nikiingia jamiiforums hasa MMU ,lakini kila napopata wasaa na kuingia nimekuwa nikikutana na member wapya ambao kwa wakati huo ndio wamekuwa wakishika hatam, japo kuna baadhi wa muda mrefu pia wapo kama kawaida yao lakini kuna kama huyu lara 1, tina cute, heavenonearth na wengineo wako wapi hawa watu weka na wengine ambao kwa sasa huwaoni humu jukwaani